Utakiona cha mtema kuni!, Kama ni hadithi , ilikuwa kwenye kitabu gani? Mtunzi alikuwa nani...na mengineyo....

Mtema kuni si mtu mzuri kwani hakuwa na bahati. Alipenda sana kukata miti hovyo. Siku moja alipokuwa akitembea kando ya mto, akaona mti mzuri sana. Kama kawaida hakuwa akiacha shoka. Akapanda juu ya mti ili aanze kukata matawi taratibu. Alipokuwa juu ya mti ghafla akaona joka kubwa likikenua ulimi, hajakaa sawa akaona nyuki wakiwa kwenye mzinga. Wakati anawaza kushuka, Hamadi! Akaona chini kuna simba amelala anamsubiri akataka arukee mtoni, akakutana na mamba amefungua mdomo tayari kwa kitoweo. Sema alichokiona ndio kilibaki historia hadi leo


Jr
Aliona nini
 
Mtemakuni pichanimuulize
Screenshot_20210426-232309_WhatsApp.jpeg
 
Mtema kuni alikuwa anakaa magomenj kabla hajaahamia mapipa na mara ya mwisho alionekana anaelekea idodomya kwa baiskeli yake ya swala
 
Back
Top Bottom