Hii ndiyo kazi ya CC-CHADEMA kwa wale wenye kutoa matamko bila kuijua katiba .

Safi sana kaka mtoi. The prblem we have we the people ni kuongea tuuuuuuuu bila kufanya research ya kutosha. Udini uliletwa na wao na sasa unawasumbua. Kubwa ni kuangalia maslahi ya taifa letu na tukianza mambo ya kuangalia fulani ni muislam ama mkristo na tusiangalie uwezo wake wa kufanya kazi tutakuwa tunafnya kosa kubwa sana na hii itakuwa ni kutoitendea haki tanzania yetu na kizazi chetu.
 
Mkuu.

Usiwe na hoja na kauli za jumla kama mtoto wa chekechea! Sema Mwenyekiti hajafuata kipengele gani au kanuni ipi kwenye katiba.

Ukizomoka bila kuwa na kitu halisi ulichoshika utakuwa huna tofauti na Mburula yule anayeimbwa kwenyw ile miziki yenu ya ubongo wenye fleva.

Sura ya 10 ibara ya ix
 
Back
Top Bottom