Hii ndiyo kazi ya CC-CHADEMA kwa wale wenye kutoa matamko bila kuijua katiba .

Zuberi Magoha

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
208
Points
0

Zuberi Magoha

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
208 0
Ndani ya Katiba ya CHADEMA toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Messages
2,457
Points
1,250

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2012
2,457 1,250
Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
Copy: ZeMarcopolo, Ritz na Zitto Kabwe.
 
Last edited by a moderator:

Mingoi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Messages
11,217
Points
2,000

Mingoi

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2012
11,217 2,000
Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
tumekusikia wasalimie Tengeru
 
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,324
Points
0
Joined Dec 11, 2010
3,324 0
Nimewiwa kuongezea hapa na huu mchango wa kamanda Lissu.

Ibara ya 5.4.3 inasema mwanachama wa CHADEMA anaweza kuachishwa au
kufukuzwa uanachama kwa kuwa na mwenendo usioendana na itikadi,
falsafa, madhumuni na maadili ya chama. Ibara ya 5.4.4 inaeleza kwamba
Kamati Kuu inaweza kumwachisha au kumfukuza mwanachama yeyote kwa
utaratibu uliowekwa na Kanuni za Chama. Kanuni za Chama ni pamoja na
Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama, Kanuni za Kusimamia Shughuli,
Mwenendo na Maadili ya Wabunge wa CHADEMA na Mwongozo wa Kutangaza
Kusudio la Kuwania Uongozi wa Chama, Mabaraza na Serikali.

Utaratibu wa hatua za kinidhamu uko kwenye kanuni ya 6.5.2 ikisomwa
pamoja na kanuni ya 6.5.6 na 6.5.7 ya Kanuni za Uendeshaji Kazi za
Chama. Kwa kifupi, mtuhumiwa anatakiwa kupatiwa mashtaka ya maandishi
na kuambiwa ajitetee kwa maandishi sio pungufu ya wiki mbili na baada
ya hapo ana haki ya kujitetea mbele ya kikao husika cha nidhamu. Hata
hivyo, Kamati Kuu ya chama inaweza - kwa mujibu wa kanuni ya 6.5.2(d)
- kuchukua hatua stahiki za kinidhamu bila kujadili matakwa ya kanuni
zilizotajwa mwanzoni, endapo itaona kuna dharura na maslahi ya chama
yanaweza kuathirika kama hatua hizo hazijachukuliwa.

Nawaombeni msome kanuni ya 10 ya Kanuni za Uendeshaji inayohusu
maadili ya viongozi na wanachama; kanuni za 2(b), 3(b) na (f) za
Kanuni za Mwenendo na Maadili ya Wabunge; na kanuni za 2(d), (e) na
(g) za Mwongozo wa Kutangaza Kusudio la Kuwania Uongozi wa Chama.
Mkakati wa Mabadiliko 2013 unapaswa kuangaliwa kwa macho ya vifungu
vyote hivi vya Katiba na Kanuni za Chama ili kuweza kuelewa the
thinking behind uamuzi wa Kamati Kuu. Kama masharti yote yaliyoko
kwenye vifungu hivi vya sheria za Chama hayakustahili kuheshimiwa basi
Kamati Kuu itakuwa imekosea sana katika maamuzi yake. Kama masharti
haya yalistahili kuheshimiwa then kosa la Kamati Kuu ni lipi hasa?

Tundu

PS: Nimeandika yote haya kwa kutoa ufafanuzi tu wa mjadala huu, kwa
sababu naona baadhi yetu tunazungumzia Katiba na Kanuni za Chama chetu
very selectively na kwa namna inayopotosha ukweli wa jambo hili.
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
Ndani ya Katiba ya CHADEMA toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
Tunataka katiba ya mwaka 2004 ndiyo tunayoitambua unayoitumia wewe imechakachuliwa na uongozi wa mbowe.
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
Nimewiwa kuongezea hapa na huu mchango wa kamanda Lissu.

Ibara ya 5.4.3 inasema mwanachama wa CHADEMA anaweza kuachishwa au
kufukuzwa uanachama kwa kuwa na mwenendo usioendana na itikadi,
falsafa, madhumuni na maadili ya chama. Ibara ya 5.4.4 inaeleza kwamba
Kamati Kuu inaweza kumwachisha au kumfukuza mwanachama yeyote kwa
utaratibu uliowekwa na Kanuni za Chama. Kanuni za Chama ni pamoja na
Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama, Kanuni za Kusimamia Shughuli,
Mwenendo na Maadili ya Wabunge wa CHADEMA na Mwongozo wa Kutangaza
Kusudio la Kuwania Uongozi wa Chama, Mabaraza na Serikali.

Utaratibu wa hatua za kinidhamu uko kwenye kanuni ya 6.5.2 ikisomwa
pamoja na kanuni ya 6.5.6 na 6.5.7 ya Kanuni za Uendeshaji Kazi za
Chama. Kwa kifupi, mtuhumiwa anatakiwa kupatiwa mashtaka ya maandishi
na kuambiwa ajitetee kwa maandishi sio pungufu ya wiki mbili na baada
ya hapo ana haki ya kujitetea mbele ya kikao husika cha nidhamu. Hata
hivyo, Kamati Kuu ya chama inaweza - kwa mujibu wa kanuni ya 6.5.2(d)
- kuchukua hatua stahiki za kinidhamu bila kujadili matakwa ya kanuni
zilizotajwa mwanzoni, endapo itaona kuna dharura na maslahi ya chama
yanaweza kuathirika kama hatua hizo hazijachukuliwa.

Nawaombeni msome kanuni ya 10 ya Kanuni za Uendeshaji inayohusu
maadili ya viongozi na wanachama; kanuni za 2(b), 3(b) na (f) za
Kanuni za Mwenendo na Maadili ya Wabunge; na kanuni za 2(d), (e) na
(g) za Mwongozo wa Kutangaza Kusudio la Kuwania Uongozi wa Chama.
Mkakati wa Mabadiliko 2013 unapaswa kuangaliwa kwa macho ya vifungu
vyote hivi vya Katiba na Kanuni za Chama ili kuweza kuelewa the
thinking behind uamuzi wa Kamati Kuu. Kama masharti yote yaliyoko
kwenye vifungu hivi vya sheria za Chama hayakustahili kuheshimiwa basi
Kamati Kuu itakuwa imekosea sana katika maamuzi yake. Kama masharti
haya yalistahili kuheshimiwa then kosa la Kamati Kuu ni lipi hasa?

Tundu

PS: Nimeandika yote haya kwa kutoa ufafanuzi tu wa mjadala huu, kwa
sababu naona baadhi yetu tunazungumzia Katiba na Kanuni za Chama chetu
very selectively na kwa namna inayopotosha ukweli wa jambo hili.
weka na hii ili muongo ajulikane nyie mmezidi uongo kudanganya watu.
[h=2]Prof Baregu: Siungi Mkono Maamuzi juu ya Zitto ila "SULUHU" ni njema[/h]
UAMUZI wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumvua madaraka, Zitto Kabwe unadaiwa kuanza kukitesa chama hicho na kwamba sasa uongozi wa juu umeamua kusaka suluhu ya jambo hilo.

Taarifa ambazo RAI Jumatano imezinasa kutoka Kinondoni, jijini Dar es Salaam yalipo Makao Makuu ya Ofisi za Chadema, zinaeleza kuwa, tayari baadhi ya viongozi wamekubali kuketi meza moja ya mazungumzo na Zitto baada ya kupewa ushauri na watu mbalimbali wakiwamo wasomi wakubwa wanaoheshimika ndani ya chama hicho.

Hatua hiyo imekuja wakati ambao tayari uamuzi wa kuwavua madaraka, Zitto pamoja na Mwanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Kitila Mkumbo, umesababisha mtafaruku na mgawanyiko ndani ya chama.

Uamuzi wa kuwavua uongozi makada hao ambao ulitangazwa na Tundu Lissu mbele ya Freeman Mbowe, ulipokelewa kwa mtazamo tofauti na makada wa chama hicho, ambapo baadhi waliamini kuwa ni sahihi huku wengine wakiyapinga kwa madai kuwa yanaua demokrasia hasa kwa chama ambacho kimejipambanua kupigania demokrasia nchini.

Miongoni mwa makada wanaodaiwa kupingana na hatua hiyo ya kamati kuu ni wasomi, ambapo mmoja wao amemtaka Mbowe kutumia nafasi yake ya uenyekiti kuzungumza na Zitto ili kukinusuru chama.

Msomi huyo aliyebobea katika masuala ya sheria nchini, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, pamoja na kutokubaliana na baadhi ya vitendo vya Zitto, anadaiwa kuweka wazi kwamba utaratibu uliotumika kumuadhibu si sahihi na hivyo ni vema jitihada za haraka zikafanyika ili kulimaliza suala hilo.

Kwa mujibu wa taarifa hizo kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kilicho karibu na Mbowe, mara baada ya kutangazwa kwa maamuzi ya kuwavua uongozi Zitto, Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, msomi huyo alizungumza kwa kina na Mwenyekiti wake na inaelezwa kuwa baadhi ya maneno mazito aliyotumia kumfikishia ujumbe yalisababisha Mbowe amwage machozi.

"Mwenyekiti alilia baada ya kuelezwa maneno mazito na mmoja wa wanasheria wa chama, alimtaka aachane na mivutano hii na badala yake akae mezani na Zitto ili wayamalize," alisema mtoa habari wetu.

Imeelezwa kuwa baada ya ushauri huo, Mbowe alimuomba mwanasheria huyo kumtafuta, Zitto ili wakae mezani.

Imebainika kwamba ni suala gumu kwa Mbowe kukaa meza moja na Zitto bila ya kuwepo kwa mtu wa kuwasuluhisha kutokana na wawili hao kuwa na migogoro iliyodumu kwa muda mrefu.

Katika kuhakikisha Mbowe na Zitto wanakutana na wanamaliza tofauti zao zilizoanza kuchomoza mwaka 2009, tayari kuna mipango ya kuunda Kamati ya usuluhishi ambayo inatajwa huenda ikaongozwa na Profesa Mwesigwa Baregu na Mabere Marando.

Jukumu la wateule hao ni kuhakikisha wanawakutanisha mahasimu hao ili kurejesha umoja na amani ndani ya chama.

Aidha zipo taarifa kwamba katika kuhakikisha amani ya moja kwa moja inarejea ndani ya chama, Zitto amepangiwa kupewa nafasi ya kuwania umakamu Mwenyekiti Bara, huku Mbowe akiachiwa nafasi yake.

Mbali na kuachiwa nafasi hiyo ya Makamu Mwenyekiti, pia zipo taarifa kwamba Zitto ataachiwa jukumu la kuwania nafasi ya urais kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wakati ambapo mwaka 2015, Dk. Willbrod Slaa atawania nafasi hiyo kwa mara ya pili.

Taarifa zilizolifikia gazeti hili zinaeleza kuwa, Profesa Baregu na Marando wamepewa jukumu hilo la kusuluhisha, kutokana na ushawishi walionao kwa pande zote mbili.

Inaelezwa kuwa Profesa Baregu amekuwa ni muumini wa demokrasia ya kweli ndani ya chama na kwamba hakukubaliana na maamuzi ya kumvua uongozi Zitto na Dk. Kitila na ndiyo sababu iliyomchagiza kutaka kujiuzulu nafasi yake ya ujumbe wa Mkutano Mkuu.

Profesa Baregu, Said Arfi ambaye amejiuzulu nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho na Dk. Kitila Mkumbo ni miongoni mwa makada wanaoaminika kusimamia demokrasia ya kweli ndani ya chama.

Msemaji wa Chadema, John Mnyika alipotafutwa kuzungumzia taarifa hizo, hakukubali wala kukataa badala yake alisema masuala hayo hayajui.

Kwa upande wake, Zitto ambaye kwa sasa yuko nchini Uingereza kwa kazi za Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), aliliambia Rai Jumatano kwamba taarifa hizo za chama kusaka suluhu naye amezisikia na endapo atatakiwa kufanya hivyo haoni sababu ya kukataa.

"Nia yangu ni kuona tunavuka salama kwenye upepo huu na ndio maana nimetangaza kwamba sitoki Chadema, njia pekee ya kuyamaliza haya ni kuzungumza, sidhani kama nitakuwa na kipingamizi," alisema Zitto.

Kwa upande mwingine jana chama hicho kimewaandikia barua yenye mashitaka 11, Zitto, Mwigamba na Dk. Kitila.

Mbali na mashitaka hayo, pia katika barua hizo, wamepewa muda wa siku 14 kujieleza kimaandishi ni kwanini wasichukuliwe hatua za zaidi, kabla ya kujitetea tena mbele ya Kamati Kuu ya chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, Mnyika, alisema sekretarieti iliyokutana juzi, ilikamilisha uamuzi uliopitishwa na Kamati Kuu ya kuwavua nyadhifa zao ndani ya chama.

Alisema sekretarieti ilijiridhisha kuwa makosa yao yalitokana na waraka ambao kimsingi ulikiuka kanuni, maadili na taratibu za chama.

"Mashitaka na makosa 11 waliyofanya, yamejikita katika uamuzi wa Kamati Kuu na si maneno ambayo waliyazungumza mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wao wa Jumapili.

Kwa upande wake, Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu, alisema Zitto na wenzake wasipojieleza ndani ya siku 14, taratibu ambazo hakuzitaja zitafuatwa.

Aidha, alimshangaa Zitto kupoteza lengo kwa kuwaambia waandishi wa habari kuwa amefukuzwa kwa sababu za uongo na kwamba ni za kizushi.

"Walichokifanya ni kupoteza lengo kwamba wamefukuzwa kwa masuala ya PAC (Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali), posho za vikao vya Bunge, kuuza majimbo yetu ya uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na mambo mengine waliyoyataja.

"Wamefukuzwa kwa kufanya mapinduzi bila kufuata utaratibu, yaani kwa kifupi walikiuka maadili, hata hivyo, katika mashitaka yao hayakuzungumzia habari za PAC," alisema Lissu.

Kuhusu kauli ya Wakili wa Zitto, Albert Msendo, kwamba Kamati Kuu ilijivika mamlaka yasiyoihusu kuwavua nyadhifa zao, isipokuwa Baraza Kuu, Lissu alisema Kamati Kuu ilikuwa sahihi kuchukua uamuzi ule.

Kuhusu kauli ya Zitto kwamba ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu ndani ya Chadema, alisema si kweli kwani haiwezekani amtukane Mwenyekiti (Freeman Mbowe), kisha aseme anaheshimu chama.

Aidha Chadema imesema waraka uliosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na kuchapishwa na baadhi ya magazeti ni feki, na kwamba waraka halisi wanao na watautoa kwenye mitandao wakati ukifika.

HISTORIA YA MGOGORO WA ZITTO NA MBOWE

Historia ya mgogoro wa Zitto na Mbowe inaanzia mwaka 2009, wakati Mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini alipoamua kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti kwa staili ya kumshtukiza Mbowe ambaye alikuwa akiwania kwa awamu ya pili.

Mbowe alichukua nafasi hiyo mwaka 2004 kutoka kwa marehemu Bob Makani, ambaye alikiongoza chama hicho kwa awamu moja kutoka mwaka 1998 hadi 2004, kama alivyofanya mtangulizi wake, Edwin Mtei ambaye ndiye mwenyekiti wa kwanza wa chama hicho aliyekiongoza kutoka mwaka 1993 hadi 1998.

Katika kipindi cha awamu ya kwanza Mbowe alifanikiwa kuimarisha harakati za chama hicho, ambapo aliweza kuongeza idadi ya wabunge kutoka sita walioachwa na Makani hadi kufikia 11, watano wakiwa ni wa kuchaguliwa na sita wa kuteuliwa.

Hatua hiyo ilimpa hamasa mwenyekiti huyo kukiongoza zaidi chama, ambapo mwaka 2009 wakati wa uchaguzi mkuu wa ndani, alionesha dhahiri kukataa kupingwa kwenye uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kiramuu, jijini Dar es Salaam.

Maamuzi ya Zitto kujitosa kuwania nafasi hiyo ya uenyekiti, yaliibua msuguano mkali kati yake na Mbowe aliyekuwa akiungwa mkono na muasisi wa chama hicho, Mtei pamoja na baadhi ya makada waliokuwa na dhana kwamba Mwenyekiti huyo hastahili kupingwa.

Hofu ya Mbowe kupingwa ilizalisha makundi ndani ya chama, ambapo kundi la mwenyekiti huyo lilimuona Zitto ni mtovu wa nidhamu na hamuheshimu kiongozi wake na kwamba hakustahili kumpinga mtu ambaye hajamaliza muhula wake wa pili wa uongozi ndani ya chama.

Wanamtandao wa Mbowe wakaibua hoja kwamba ni vema Zitto akaondoa jina lake kwenye kuwania nafasi hiyo, ili kukiepusha chama na anguko wakati huo kikijiandaa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 na kwamba kama chama kingeingia kwenye uchaguzi na mgawanyiko hali ingekuwa mbaya.

Jitihada za haraka za kukinusuru chama na mpasuko zikafanyika, ikiwa ni pamoja na kufanya kikao cha usuluhishi kilichoundwa na wazee kwa nia ya kutafuta muafaka kati ya Zitto na Mbowe, mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini alishawishiwa kuliondoa jina lake kwenye kinyang'anyiro hicho.

Hatua hiyo ilififisha dhana ya uwepo wa demokrasia na badala yake ukawa mwanzo wa kuzaliwa kwa makundi.​
 
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,324
Points
0
Joined Dec 11, 2010
3,324 0
Wenye udini ni CCM sio CHADEMA:
Rais JK-Mwislam
VP-Dr Balal-Mwislam
Mwenyekiti wa CCM-Taifa-Mwislam
Katibu Mkuu Kinana-Mwislam
Viongozi wote wakubwa kwenye excutive order na kwenye chama wote ni WAISLAM!!Ina maana CCM ni chama cha kiislam?

Propaganda zenu kuichafua CHADEMA ni za zamani na za ki p u u z i sana tafuteni mpya!
Na hii ndio Sekritarieti CCM

1. Abrahaman Kinana

2. Shamsi vuai Nahodha

3. Zakia meghi

4. Asharose Migiro

5. Mohamedi Sief Khatibu

6. Mwigulu Nchemba

Kwao huu sio udini ila udini kwa CHADEMA ni kwa kuwa Mwenyekiti Mbowe na Dr Slaa niwa kristo na wengene wote kuanzia Makamu mwenyekiti bara aliyejiuzulu, makamu Zanzibar, Naibu aliyevuliwa nafasi yake na Naibu Zanzibar wote ni Waislamu.

Yaani kwenye top leadership ya CHADEMA kati ya viongozi sita (6) ni viongozi wawili tu (Mbowe na Slaa) ndio wakristo waliobakia wote ni Muslims lakini bado propaganda za maji taka za maccm na makuhani wao bado wanaghani kama chiriku.

Mbegu ya udini imepandwa na CCM na inaghaniwa na vibaraka wao wasio litakia mema taifa.
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,483
Points
2,000

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,483 2,000
Na hii ndio Sekritarieti CCM

1. Abrahaman Kinana

2. Shamsi vuai Nahodha

3. Zakia meghi

4. Asharose Migiro

5. Mohamedi Sief Khatibu

6. Mwigulu Nchemba

Kwao huu sio udini ila udini kwa CHADEMA ni kwa kuwa Mwenyekiti Mbowe na Dr Slaa niwa kristo na wengene wote kuanzia Makamu mwenyekiti bara aliyejiuzulu, makamu Zanzibar, Naibu aliyevuliwa nafasi yake na Naibu Zanzibar wote ni Waislamu.

Yaani kwenye top leadership ya CHADEMA kati ya viongozi sita (6) ni viongozi wawili tu (Mbowe na Slaa) ndio wakristo waliobakia wote ni Muslims lakini bado propaganda za maji taka za maccm na makuhani wao bado wanaghani kama chiriku.

Mbegu ya udini imepandwa na CCM na inaghaniwa na vibaraka wao wasio litakia mema taifa.
Mkuu nashukuru sana kwa bandiko lako nimelizungumza hilo sana lakini naishiwa kutunwa mimi ni msukule
 
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,324
Points
0
Joined Dec 11, 2010
3,324 0
Mkuu nashukuru sana kwa bandiko lako nimelizungumza hilo sana lakini naishiwa kutunwa mimi ni msukule
Mkuu.

Waambie waje wakutajie nafasi nyeti kama dhana ni kuangalia udini na si uwezo wa mtu. taja nafasi yoyote kubwa serikali utakutana na majina ya dini yetu, taja matajiri wakubwa wafadhiri wa ccm wenye magari, meli na viwanda vikubwa hapa Tanzania utakuta ni watu wenye majina na imani ya dini yetu! hili kwao sio tatizo lakini tatizo kwao ni CHADEMA ambayo kimsingi kama ni kuangalia wingi wa watu wa dini moja basi inge-qualify kusema uongozi wa juu CHADEMA umetawaliwa na watu wa dini yetu (Waislamu) maana wao tangu uchaguzi wa 2009 zilipo anza propaganda kuwa CHADEMA ni chama cha kikristo tayari waislamu walikuwa 4 kati ya wakristo 2.

Lakini bado utasikia CHADEMA ni chama cha kikristo huku wao wakiwa hawasemi kuwa ni chama cha dini gani! wauwaji wao, wauza sembe wao, wauza meno ya tembo wao, ufisadi wao, takataka zote wote! au wao Freemason?
 
Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,295
Points
2,000

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,295 2,000
Hivi Zitto hakuwa akijua haya?Sipendi amini kuwa facebook na twitter ndiko palikuwa office na pengine hakuwa hata na softcopy ya katiba ya chama chake.Ndio maana sasa anataka kwenda waabisha wanaseheria na wengine ambao nao huwa hawan amuda wa kuisoma katiba ya cdm kwa vile wanadhan itakuwa rahisi na wanaijua.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,295
Points
2,000

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,295 2,000
Na hii ndio Sekritarieti CCM

1. Abrahaman Kinana

2. Shamsi vuai Nahodha

3. Zakia meghi

4. Asharose Migiro

5. Mohamedi Sief Khatibu

6. Mwigulu Nchemba

Kwao huu sio udini ila udini kwa CHADEMA ni kwa kuwa Mwenyekiti Mbowe na Dr Slaa niwa kristo na wengene wote kuanzia Makamu mwenyekiti bara aliyejiuzulu, makamu Zanzibar, Naibu aliyevuliwa nafasi yake na Naibu Zanzibar wote ni Waislamu.

Yaani kwenye top leadership ya CHADEMA kati ya viongozi sita (6) ni viongozi wawili tu (Mbowe na Slaa) ndio wakristo waliobakia wote ni Muslims lakini bado propaganda za maji taka za maccm na makuhani wao bado wanaghani kama chiriku.

Mbegu ya udini imepandwa na CCM na inaghaniwa na vibaraka wao wasio litakia mema taifa.
CCM hilo hawaoni wala kuwa fair enough to themselves.Angalau hata ingekuwa hao jamaa wamewashinda wengine kwa vigezo muhimu.Ila wengine waliingia kihuni tuu ili kulind amasalhi ya utawala uliopo at the detrimet of the nation.

CDM wanaweza jitetea kwa vile waislam wengi walipotoshwa na kutojitokeza kwa wingi kujiunga na chama actively.Na waliopata km akina arfi na Zitto hawakuwajibika sana .Hii yote ikapunguza propabilities za kupata viongozi wa kutosha wa kiislam.Na bahati mbaya waasia wengi wanapenda CCM ili kulinda mali zao lakin bado CCM haina singasinga,haina wayahudi,haina wahindu etc.
 
Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
2,777
Points
1,195

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
2,777 1,195
Na hii ndio Sekritarieti CCM

1. Abrahaman Kinana

2. Shamsi vuai Nahodha

3. Zakia meghi

4. Asharose Migiro

5. Mohamedi Sief Khatibu

6. Mwigulu Nchemba

Kwao huu sio udini ila udini kwa CHADEMA ni kwa kuwa Mwenyekiti Mbowe na Dr Slaa niwa kristo na wengene wote kuanzia Makamu mwenyekiti bara aliyejiuzulu, makamu Zanzibar, Naibu aliyevuliwa nafasi yake na Naibu Zanzibar wote ni Waislamu.

Yaani kwenye top leadership ya CHADEMA kati ya viongozi sita (6) ni viongozi wawili tu (Mbowe na Slaa) ndio wakristo waliobakia wote ni Muslims
lakini bado propaganda za maji taka za maccm na makuhani wao bado wanaghani kama chiriku.

Mbegu ya udini imepandwa na CCM na inaghaniwa na vibaraka wao wasio litakia mema taifa.

Asante mkuu kwa kuuweka ukweli huu wazi! Haya sasa tafuteni pengine pa kutokea hii single haina mashiko tena
 
mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,622
Points
2,000

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,622 2,000
Nimewiwa kuongezea hapa na huu mchango wa kamanda Lissu.

Ibara ya 5.4.3 inasema mwanachama wa CHADEMA anaweza kuachishwa au
kufukuzwa uanachama kwa kuwa na mwenendo usioendana na itikadi,
falsafa, madhumuni na maadili ya chama. Ibara ya 5.4.4 inaeleza kwamba
Kamati Kuu inaweza kumwachisha au kumfukuza mwanachama yeyote kwa
utaratibu uliowekwa na Kanuni za Chama. Kanuni za Chama ni pamoja na
Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama, Kanuni za Kusimamia Shughuli,
Mwenendo na Maadili ya Wabunge wa CHADEMA na Mwongozo wa Kutangaza
Kusudio la Kuwania Uongozi wa Chama, Mabaraza na Serikali.

Utaratibu wa hatua za kinidhamu uko kwenye kanuni ya 6.5.2 ikisomwa
pamoja na kanuni ya 6.5.6 na 6.5.7 ya Kanuni za Uendeshaji Kazi za
Chama. Kwa kifupi, mtuhumiwa anatakiwa kupatiwa mashtaka ya maandishi
na kuambiwa ajitetee kwa maandishi sio pungufu ya wiki mbili na baada
ya hapo ana haki ya kujitetea mbele ya kikao husika cha nidhamu. Hata
hivyo, Kamati Kuu ya chama inaweza - kwa mujibu wa kanuni ya 6.5.2(d)
- kuchukua hatua stahiki za kinidhamu bila kujadili matakwa ya kanuni
zilizotajwa mwanzoni, endapo itaona kuna dharura na maslahi ya chama
yanaweza kuathirika kama hatua hizo hazijachukuliwa.

Nawaombeni msome kanuni ya 10 ya Kanuni za Uendeshaji inayohusu
maadili ya viongozi na wanachama; kanuni za 2(b), 3(b) na (f) za
Kanuni za Mwenendo na Maadili ya Wabunge; na kanuni za 2(d), (e) na
(g) za Mwongozo wa Kutangaza Kusudio la Kuwania Uongozi wa Chama.
Mkakati wa Mabadiliko 2013 unapaswa kuangaliwa kwa macho ya vifungu
vyote hivi vya Katiba na Kanuni za Chama ili kuweza kuelewa the
thinking behind uamuzi wa Kamati Kuu. Kama masharti yote yaliyoko
kwenye vifungu hivi vya sheria za Chama hayakustahili kuheshimiwa basi
Kamati Kuu itakuwa imekosea sana katika maamuzi yake. Kama masharti
haya yalistahili kuheshimiwa then kosa la Kamati Kuu ni lipi hasa?

Tundu

PS: Nimeandika yote haya kwa kutoa ufafanuzi tu wa mjadala huu, kwa
sababu naona baadhi yetu tunazungumzia Katiba na Kanuni za Chama chetu
very selectively na kwa namna inayopotosha ukweli wa jambo hili.
NAONA VIJANA WA MBOWE,sasa swali kile kitendo cha mc lema ,chalii Nassari na msukule kileo kumshaambulia ZZK hadharani mbona hamkuleta vifungu vya sheria??au sheria yenu inakata kanda zingine tu,ukanda wa mzee mwenyewe wa saccoss mnajifanyia vyovyote vile mnavyotaka?na kama ni hivyo badi mmekosa falsafa ya CDM KUWA CHAMA CHA KITAIFA
 
Lighondi

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
583
Points
195

Lighondi

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
583 195
Mkuu.

Waambie waje wakutajie nafasi nyeti kama dhana ni kuangalia udini na si uwezo wa mtu. taja nafasi yoyote kubwa serikali utakutana na majina ya dini yetu, taja matajiri wakubwa wafadhiri wa ccm wenye magari, meli na viwanda vikubwa hapa Tanzania utakuta ni watu wenye majina na imani ya dini yetu! hili kwao sio tatizo lakini tatizo kwao ni CHADEMA ambayo kimsingi kama ni kuangalia wingi wa watu wa dini moja basi inge-qualify kusema uongozi wa juu CHADEMA umetawaliwa na watu wa dini yetu (Waislamu) maana wao tangu uchaguzi wa 2009 zilipo anza propaganda kuwa CHADEMA ni chama cha kikristo tayari waislamu walikuwa 4 kati ya wakristo 2.

Lakini bado utasikia CHADEMA ni chama cha kikristo huku wao wakiwa hawasemi kuwa ni chama cha dini gani! wauwaji wao, wauza sembe wao, wauza meno ya tembo wao, ufisadi wao, takataka zote wote! au wao Freemason?
Well said Mohamedi Mtoi!
Ubarikiwe.

Nadhani kwa aina hii ya majibu ndiyo inayofaa kupambana na hizi propaganda za kishenzi. Yaani tunaacha kuongelea issue za maana za maisha duni ya Mtz, tumeng'ang'ana na udini, ukabila na ukanda.

Yawezekana ni mbinu tu ya ku-buy time kuelekea uchaguzi mkuu 2015 ili wasiulizwe wamefikia wapi katika utekelezaji wa zile ahadi lukuki walizoahidi 2010!

Anyway muda utasema!!
 
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,324
Points
0
Joined Dec 11, 2010
3,324 0
weka na hii ili muongo ajulikane nyie mmezidi uongo kudanganya watu.
[h=2].[/INDENT]
Hayo ni maoni ya mjumbe wa kamati kuu, na kamati hiyo haina mjumbe mmoja, anaye tetewa na mjumbe mmoja kavuliwa nafasi zake na idadi ya kura nyingi za wajumbe. kwa maana hiyo maoni yake na mtazamo wake kama ilivyo haki yake yali funikwa na wingi wa kura za kidemokrasia za wajumbe wengi.

kilichobaki ni siku 14 kamati kuu iamue kutokana na uteteI wao wa kimaandishi. alichoeleza Prof Baregu ni maoni yake kama jinsi yalivyo maoni ya wana ccm wengi kupinga mwenyekiti wa ndoto zao kuvuliwa uongozi.
 
Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,258
Points
2,000

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,258 2,000
Mkuu.

Waambie waje wakutajie nafasi nyeti kama dhana ni kuangalia udini na si uwezo wa mtu. taja nafasi yoyote kubwa serikali utakutana na majina ya dini yetu, taja matajiri wakubwa wafadhiri wa ccm wenye magari, meli na viwanda vikubwa hapa Tanzania utakuta ni watu wenye majina na imani ya dini yetu! hili kwao sio tatizo lakini tatizo kwao ni CHADEMA ambayo kimsingi kama ni kuangalia wingi wa watu wa dini moja basi inge-qualify kusema uongozi wa juu CHADEMA umetawaliwa na watu wa dini yetu (Waislamu) maana wao tangu uchaguzi wa 2009 zilipo anza propaganda kuwa CHADEMA ni chama cha kikristo tayari waislamu walikuwa 4 kati ya wakristo 2.

Lakini bado utasikia CHADEMA ni chama cha kikristo huku wao wakiwa hawasemi kuwa ni chama cha dini gani! wauwaji wao, wauza sembe wao, wauza meno ya tembo wao, ufisadi wao, takataka zote wote! au wao Freemason?
Wewe utakuwa msukule mwisho watakufukuza kama mbwa, umeishajiuliza kwa nini Mtei alihoji wajumbe wa tume ya katiba waislam wengi? Ebu tupe idadi ya kamati kuu Waislam wangapi na Wakirsto wangapi.
 
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,324
Points
0
Joined Dec 11, 2010
3,324 0
Wewe utakuwa msukule mwisho watakufukuza kama mbwa, umeishajiuliza kwa nini Mtei alihoji wajumbe wa tume ya katiba waislam wengi? Ebu tupe idadi ya kamati kuu Waislam wangapi na Wakirsto wangapi.
Nashukuru mkuu.

kumbuka hata misukule imeumbwa na mwenyezi Mungu, kuniita msukule bado hujavua shufaa na thamani yangu kuwa ni kiumbe cha Mungu. hiyo ndio furaha yangu!

Wewe ndio unatakiwa u-prove kwa kufanya home work yako. sugua kichwa usisubiri kutafuniwa majibu na msukule maana wewe binadamu una akili kubwa kuliko msukule.
 
Forum statistics

Threads 1,391,008
Members 528,343
Posts 34,070,032
Top