Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ukweli anaujua, anajua kila kitu anachokisema kwamba anapotosha kuanzia swala la Baa la Njaa na kwamba alikuwa anakwenda kuwaunganisha Wabunge wa CCM kumuondoa Raisi wetu sijui hiyo angeiapata wapi, la Fedha za Uswisi, kuja kwenye lile kwamba tuna akiba ya Mafuta ya wiki 2 tu na kwamba baada ya hapo hakuna ndege itakayotua TZ mpaka kwenye hili la Ununuzi wa Ndege, anajua kila kitu, ila ana Chama cha kujenga, ana Chama ambacho anahitaji kukinadi kwa Watanzania, hapo ndipo tatizo lilipo, ...