Hii ndiyo iliyowafukuza chuo wanafunzi 48 na kuwasimamisha wanafunzi 4 UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndiyo iliyowafukuza chuo wanafunzi 48 na kuwasimamisha wanafunzi 4 UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MESAYA, Jan 5, 2012.

 1. MESAYA

  MESAYA Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Fungua waraka huu upate undani wa kilichowafukuza chuo wanafunzi 48 na kusimamisha wanafunzi 4 UDSM.
   
 2. H

  Huburya Charles Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana vijana na hii ndo inaonesha ni jinsi gani uonevu ulivyomkubwa vyuoni kwa ss tuliopita huko vyuoni kila mwaka ukiisha unashukuru Mungu na huo uongozi wa chuo unajulikana kwa ukandamizi. VC alikuwa Luhanga ambaye ni mpole na anafanya maamuzi kwa kufikilia kweli he's a real Eng.
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,325
  Likes Received: 2,318
  Trophy Points: 280
  kaka tuanikie wengne tunatumia simu.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  nimejaribu kuwarahisishia mnaotumia simu zenu za kichina   
 5. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  dah inauma sana mkuu, ila yana mwisho haya.
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  Sawa yana mwisho lakini nani anaumia?
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hadi kufikia 2015 tutakapopata rais mwingine mwenye akili kidogo, damu za wananchi wengi sana wasio na hatia zitamwagika. Mungu wasaidie hawa vijana warudi kuendelea na masomo yao na uwaepushe na hasira za wanadamu zisizo na busara.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
   
Loading...