Hii ndiyo hali halisi ya Shule ya Msingi Bwewe

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,276
9,912
Huwezi kuamini hii ni shule ya msingi iliopo Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani, Shule ya Msingi Mbwewe.

Kweli tunasafari ndefu sana.
IMG_20191101_141243.jpeg
IMG_20191101_141247.jpeg
 
Mabeberu washindwe na walegee. BTW utafiti wa TWAWEZA ulisema kuwa CCM inapendwa na watu wasiona elimu. Ili CCM iendelee kupendwa lazima watz wengi kadri iwezekanavyo wawe wajinga zaidi. Na hiki kitu wao CCM wanakifanya kwa uaminifu sana kuliko kutekeleza ilani yao
 
Kama kuna mikoa siionei huruma basi miongoni mwao ni Pwani, Hawa watu acha wavune walichokipanda.......

Hawajawahi kutumia akili katika kufanya maamuzi kipindi cha uchaguzi, ikifika kipindi cha uchaguzi wamama wanavaa madera ya chama wanakata viuno kama feni Mbovu. They don't care about their rights... Yani wapi wapi tu,
sijawahi kuwaelewa....
 
Kama kule Makao Makuu

Hivi mnashindwa kupiga picha ya maendeleo yaliyofanywa na rais unaenda kupiga picha shule mbovu iliooachwa na kikwete.wewe mleta mada hii unataka rais kwa miaka. 4 akufanyie mangapi ndio maana tunataka akae milele atuongoze amalize uozo wote ulioachwa na viongozi wengine nakuomba baada ya miaka 20 njoo tena utuonyeshe mahala aliopaacha
Huwezi kuamini hii ni shule ya msingi iliopo Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani, Shule ya Msingi Mbwewe.

Kweli tunasafari ndefu sana.View attachment 1250844View attachment 1250845
 
Hivi mnashindwa kupiga picha ya maendeleo yaliyofanywa na rais unaenda kupiga picha shule mbovu iliooachwa na kikwete.wewe mleta mada hii unataka rais kwa miaka. 4 akufanyie mangapi ndio maana tunataka akae milele atuongoze amalize uozo wote ulioachwa na viongozi wengine nakuomba baada ya miaka 20 njoo tena utuonyeshe mahala aliopaacha

Kuna watu akili zenu mbovu Sana.
Sasa nenda kakae naye milele huko alipo
 
Kama kuna mikoa siionei huruma basi miongoni mwao ni Pwani, Hawa watu acha wavune walichokipanda.......

Hawajawahi kutumia akili katika kufanya maamuzi kipindi cha uchaguzi, ikifika kipindi cha uchaguzi wamama wanavaa madera ya chama wanakata viuno kama feni Mbovu. They don't care about their rights... Yani wapi wapi tu,
sijawahi kuwaelewa....
Alafu cha ajabu mikoa ambayo huwa Ina upinzani ndo Ina maendeleo ila ile ya ccm huwa ni vichekesho pwani,katavi,ruvuma,dodoma(hii ishukuru kutangazwa makao makuu )
 
Back
Top Bottom