Hii ndiyo hali halisi ya Brake Point Posta na Nexus Victoria

Na miaka miwili toka nianza shughuli zangu mikoani hivyo na muda kidogo sijafika maeneo ya Posta, leo nilipanga niende Posta lengo ni kwenda kununua bidhaa , kuna msela wangu mikaa 5 sasa imepita, alikuwa ananiuzia shati, Jeans, Na Makoti ya suti makali ya mtumba kali.

Nasikitika msela wangu sikuweza baada ya kumulizia kwa jamaa niliwakuta kwenye kijiwe hicho walinitonya kuwa jamaa aliamua kuacha biashara baada ya hali ya biashara kuwa ngumu.

Basi niliamua kuungisha jamaa ingawa hakuwa na shati kali kivile, nikaendelee na shopping zangu ilifika muda wa Lunch nilasema ngoja nikapate Lunch pale Brake point ilikuwa mida ya saa 8:30, Dah hali nilioikuta pale nikahisi pamefungwa nini? Nilikuta wateja wasiozidi 8 kwakweli nilishangaa sana, basi nikaagiza msosi wangu nikagonga nikaondoka nikiwa na mawazo sana.

Nikaondoka zangu kufika maeneo ya victoria nikapigiwa simu kuna docs muhimuanahitaji docs ya haraka natakiwa niitume basi nikapata wazo ningie pale makumbusho stand nikaiscan then niitume. Nilipomaliza kuituma nikaenda pale Nexus àngalau kupata bia mbili tatu then niondoke hali niliikuta pale kweli nilifadhaika sana hakuna wateja kabisa.

Jamani hali ni mbaya sana

Angalia picha

View attachment 1698392
Nani akale Wali Makange 7000 ilihali kuna Chips Kuku 3500? Watu nao Siku hiz Wachumi.
 
Hata bahari ina kupwa na kujaa.
 
"NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO"
 
Ukipata mda tembelea Royal vilage, Mwanga bar, chako ni chako, capetown, kwa mnama, Tango, platnum.................. Kisha utuletee mrejesho, BIAS
 
Ubunifu wa kimazingira hawana, pilika pilika za town zimehamia Dodoma, watu kipato kimekata.......watafunga tu siku zao zinahesabika..wenzao sinza baa zote wamegeuza frem
 
Back
Top Bottom