Hii ndiyo hadithi ya Joshua Nassari- Si mkweli alikotoka na anakokwenda

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
2,576
2,000
AUGUST 27, 2018
Back to News
Harris Office of Admissions
Emailharrisadmissions@uchicago.edu
773.702.8401


The youngest Member of Parliament in Tanzania, Nassari was first elected as a Member of Tanzania Parliament (MP) when he was 26 years old in 2012, and then reelected in 2015.

He holds a BA in Policy, Planning, and Administration from the University of Dar Es Salaam and an MA from the University of Westminster in International Relations and Democratic Politics.

Nassari has debated, scrutinized, and voted on legislation for the past six years, with particular focus on improving the quality of public education and healthcare in Tanzania, a country which previously only owned two ambulances. Committed to action, Nassari purchased ambulances and donated them to increase the fleet of emergency healthcare vehicles.

While Nassari is completing the MAIDP and Obama Foundation Scholars program, he will take a nine-month sabbatical from Parliament. Afterward, he plans to continue his work for the East African community.
 

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
2,576
2,000
Basi niwie radhi mkuu. Lakini kauli ya Kangi kuhusu senema ya gwajiboy umeisikia? Usishangae kusikia kuwa hiyo link uliyotuwekea hapo ni feki, na kama itasemwa hivyo na Kangi ujue ndiyo official statement.
Labda kaka maana dunia hii ina mambo
 

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
535
1,000
Huyu alichoka na hadith za Ufipa akamua kuachia Jimbo kiaina aende zake majuu..wale wa matusi huwaoni humu wakitiririka huku sababu yao na ngumu kumeza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom