Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Hii ni aibu nyingine kwa Basata ,wizara na wadhamini wote wa hili shindano bila kumsahau mwenye shindano hili kwa sasa bi Basila mwanukuzi aiseeee hivi gari kama hilo ndio anapata mshindi kweli pamoja na wadhamini wote wale? Nafikiri hili shindano lina laana kabisa .....watu walitegemea makubwa sana kwenye hili shindano lakini ni aibu tupu kabisa kabisa.

Kuna kila sababu la kulifutilia mbali kabisa hili shindano....

- duh! hahahahahhahahaaha saafi sana

le Mutuz Superbrabrand
 
Nani anamsoma Mzushi huyu, anawachukia wanawake kwa sababu ana kibamia, dawa ni kumnunulia dild. Ili atumie na kidole gumba, ukiona mwanaume msengezaji ujue chini ni kichungi

- Umejuaje yote haya na wewe ni mtoto wa kiume au uliwahi kumpa?

le Mutuz Superbrand
 
Nimesoma mahala gari eti ni la millioni 15 tshs.

Mwisho wa siku watajiju

Mwaka 2011 ndio ulikiwa mwisho wa matanuzi Vodacom walimalizia na kujitoa.
 
Mbona sijakuona kikaoni Ursino Morocco? Anarudi November
Dah!! kumbe mkuu uko front line!. Mi nipo Musoma now, ila xmonks walinipenyezea picha kadhaa tu, hawakunipa news zozote. Mkuu nitupie news inbobo basi. Ila kila nikiangalia lile dude alilojenga pale S.A huwa sipati picha yule jamaa alikuwa na mission na akili gani. Halafu akamuachia Master Hsing Yun kwa roho safi tu.
Mnaongea kiswahili halafu bado siwaelewi

Kingekuwa Kingereza sijui ingekuwaje

Asalalee!
 
Basila has done it, kamkuwadie rafiki yako akulipie harusi, don't try to undermine people kwa vitu usingepeñda ufanyiwe. Mfyuuuuu

- Ameji undermine mwenyewe kwa akili ndogo, unapiganaje na wakala wako na brand ni yako mwenyewe? Niliwahi kukukuwadia wewe ndio maana unayajua, wewe ni mjinga tu hata utumie majina ya bandia ni mjinga ndio maana Serukamba alikuacha baada ya kukutumia sana kuitukana serikali ya sasa, hahahahahaha Harusi yangu inakuhusu nini? Jembe alikua rafiki yako na wa kaka yako aliwahi kukulipia harusi yako?

- UMEYATAKA MWENYEWE USILIE SASA JIPANGE UPYA

le Mutuz Superbrand
 
Hii ni aibu nyingine kwa Basata ,wizara na wadhamini wote wa hili shindano bila kumsahau mwenye shindano hili kwa sasa bi Basila mwanukuzi aiseeee hivi gari kama hilo ndio anapata mshindi kweli pamoja na wadhamini wote wale? Nafikiri hili shindano lina laana kabisa .....watu walitegemea makubwa sana kwenye hili shindano lakini ni aibu tupu kabisa kabisa.

Kuna kila sababu la kulifutilia mbali kabisa hili shindano....
AIBU SANA SANA!!!!!!!!
 
Heri hata IST halafu ataisotea kuipata not today kama yule WA last year.
 
- Ameji undermine mwenyewe kwa akili ndogo, unapiganaje na wakala wako na brand ni yako mwenyewe? Niliwahi kukukuwadia wewe ndio maana unayajua, wewe ni mjinga tu hata utumie majina ya bandia ni mjinga ndio maana Serukamba alikuacha baada ya kukutumia sana kuitukana serikali ya sasa, hahahahahaha Harusi yangu inakuhusu nini? Jembe alikua rafiki yako na wa kaka yako aliwahi kukulipia harusi yako?

- UMEYATAKA MWENYEWE USILIE SASA JIPANGE UPYA

le Mutuz Superbrand
Kwamba huyu ndo yule naniii anayetumika kunanii ?😂😂 akikujibu niite W. J. Malecela
 
Back
Top Bottom