Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

Moja kwa moja kwenye mada,ifuatayo ndio orodha ya makabila top ten yaani cream yaliyoshikilia share kubwa ya uchumi wa Tanzania.

1. Watu wenye asili ya asia wahindi, waarabu, wapemba nk

2. Wachaga

3. Wakinga

4. Wasukuma

5. Wahaya

6. Wanyakyusa

7. Wapare

8. Waha

9. Wamasai

10. Wakurya

Kama wewe unatokea makabila tofauti na hayo basi jitahidi kupata mwenza kutoka miongoni mwa hayo makabila Ili upige vita umaskini vinginevyo utamlaumu shetani bure.
Mi simo kwenye list ; nililitambua hilo tangu nasoma, kwa sasa wakwe zangu ni wale number 2....tunakimbizaa!!
 
Moja kwa moja kwenye mada,ifuatayo ndio orodha ya makabila top ten yaani cream yaliyoshikilia share kubwa ya uchumi wa Tanzania.

1. Watu wenye asili ya asia wahindi, waarabu, wapemba nk

2. Wachaga

3. Wakinga

4. Wasukuma

5. Wahaya

6. Wanyakyusa

7. Wapare

8. Waha

9. Wamasai

10. Wakurya

Kama wewe unatokea makabila tofauti na hayo basi jitahidi kupata mwenza kutoka miongoni mwa hayo makabila Ili upige vita umaskini vinginevyo utamlaumu shetani bure.
Mkuu umetumia vigezo gani? Nahisi cha USHAMBA (uncivilized) hukukiangalia ingawa nacho ni muhimu sana
 
Top ten ya wenye akili,maarufu, wasomi, maisha bora/ ustaarabu, mikoa mizuri,Viongozi, zote tiyari
Nasubiri top ten ya:
1.makabila wenye makaliomakubwa
2.Wenye lidushe likubwa
2.Wenye vibamia
4.Wenye k zenye maji mengi
5.Wauza k
6.Walafi
7.Wanaokata viluno kama vyote
8. Weusi kama mkaa
9.Weupe kama warabu.
10.Wachawi koma!
11.wambeya
13.Giants,/majutu ya miraba minne
14.Vimbaumbau
15.Mama ntilie
16.Wanaopenda kusafirisafir
Nk
Pendekeza ni top ten ipi ifuatie katika list..
 
Unaujua mkoa wa Kagera wewe!! Tatizo unaleta ligi wakati uhalisia uhujui! Mkoa wa kagera una wilaya nane, na wilaya zote sio kwamba wanaishia wahaya, wilaya ambazo wanatoka wahaya uwezi kusikia kuna njaa au utapiamlo!!

Wilaya ambazo zinatajwa kwenye umaskini na zinatoka mkoa wa kagera ni biharamulo, ngara, uko kuna makabila ya waangaza, wasubi, na waha!! Ndipo uwa kunafanya mkoa wa Kagera kuingia kwenye umaskini!! Ila kwa vigezo vyovyote wakinga hawajawafikia wahaya kwa maendeleo ilo lipo wazi, wahaya wapo sekta zote, elimu na biashara, na wahaya wengi shule ipo wanafanya biashara za akili, tofauti na wakinga ambao wengi wanafanya biashara za kimazoea wengi elimu hawana, wahaya kwenye biashara hawana kelele,wahaya wamesambaa kote duniani wakifanya biashara na shughuli mbalimbali za vipato! Wakinga wanaibuka ila kuna mikoa uwezi kukuta wakinga, na wengi wanafanya biashara za uchuuzi tu!!

Na kinachowaangusha wengi elimu hawana, mimi binafsi nafanya kwenye kampuni za kihasibu, nafanya biashara na hao wakinga wengi hata uwezo wa kufunga hesabu zao za mwaka hawawezi, biashara zao, wengi hawana mtililiko mzuri wa mahesabu!!Wahaya, wachaga wasukuma ndio makabila giants kwa biashara kwa wazawa.
We jamaa unaongea pumba sana tena umebezi kwenye ukabila tena unakosea sana kuwashusha hadhi wakinga et sio wasomi uliza sasa kama biashara za wakinga zna drop hovyo kama hao unaowasemea wahaya cjui na kwa taarifa yako wakinga wangekua na ability ya kujenga kwao njombe nadhan njombe ingekua ni moja kat ya majiji mazur sana tena hasa wilaya ya makete acha kuwadharau wakinga we jamaa miaka nenda rud wakinga hata kama weng sio wasomi kwenye biashara hawajawah kufail kizembe
 
Top ten ya wenye akili,maarufu, wasomi, maisha bora/ ustaarabu, mikoa mizuri,Viongozi, zote tiyari
Nasubiri top ten ya:
1.makabila wenye makaliomakubwa
2.Wenye lidushe likubwa
2.Wenye vibamia
4.Wenye k zenye maji mengi
5.Wauza k
6.Walafi
7.Wanaokata viluno kama vyote
8. Weusi kama mkaa
9.Weupe kama warabu.
10.Wachawi koma!
11.wambeya
13.Giants,/majutu ya miraba minne
14.Vimbaumbau
15.Mama ntilie
16.Wanaopenda kusafirisafir
Nk
Pendekeza ni top ten ipi ifuatie katika list..
Kwa akili hizi umasikini utakuganda kama luba !!!! Utakuwa fukara wewe na kizazi chako !!! Badiilika haraka ndugu muda sio rafiki
 
Uzi haujawa specific na single subject, unatup kaz nying. Over
 
Wazungu! siyo kabila? basi sema kaburu, wa uk! wamekamata miradi yoote! na pombe mabenki wanamiliki mpaka serikali! super markets zoote!! bandari, Umeme!
 
Multi-billionaire anaenda kufukuza «wezi» kwenye yard ya mitungi ya gas? Huyo mlinzi aliyempiga risasi alikuwa na kazi gani sasa hadi boss man «billionaire» aje mwenyewe kupambana na «wezi wa gas»?
 
Back
Top Bottom