Hii ndio tofauti ya kuhutubia kwa Kiswahili na kusoma hotuba ya kiswahili iliyoandikwa na mwingine

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
KUNA TOFAUTI KUBWA Kati ya KUSOMA HOTUBA ya KISWAHILI na KUHUTUBIA kwa KISWAHILI.

Unapo soma taarifa iliyoandaliwa bila kutolea ufafanuzi unachosoma, hiyo inakuwa sio hotuba yako Bali ya yule aliyeiandaa, hivyo wewe ni Msomaji tu wa hotuba kama ilivyoandikwa.

Unaposoma hotuba na kufafanua unachosoma, wewe ndio umeandaa hiyo hotuba ndio maana unaweza kufafanua. Hivyo wewe ndio umehutubia kwa kiswahili.

Unapotoa hotuba bila kusoma popote au kusoma kwenye summary, wewe unahutubia unacho kijua.

Niliwahi kuwa na rafiki mzungu pale kahama mwaka march1998 alikuwa hajui Kiswahili hata kidogo, yeye alikuwa muitaliano, alihitaji kuongea na wakazi wa kijiji cha mbulu, aliandaa hotuba kwa kiingereza na sisi tukaitafsiri kwa kiswahili. Siku ya kikao na wananzengo yeye aliisoma hotuba ya kiswahili kama ilivyo. Na aliisoma kwa ufasaha sana lakini alichokuwa anasoma hata hakijui ila alijua ni tafsiri ya ile aliyoandika kwa kiingereza. Hivyo yeye alikuwa msomaji tu na wala sio mhutubiaji.

Mwalimu akiingia darasani na kusoma notisi kama zilivyo bila kufafanua maana yake amejisomea mwenyewe maana hata wanafunzi wanajua lugha anayoisoma ila wanahitaji ufafanuzi.

Aksanteni kwa kunisoma.

Deogratius N Kisandu
Chief Chairman elect of ACA expected
 
Vipi kule ADI's Ababa ilikuwaje huko maana Mimi sijaona.

Aksanteni kwa kunisoma.

Deogratius N Kisandu
Chief Chairman elect of ACA expected

Hahah mtakufa mwaka huu kwa chuki na roho mbaya zenu dhidi ya raisi wetu lkn ndiyo hivyo kila Raisi wetu anachogusa kinageka dhahabu. aliyekuzidi kakuzidi tu hakuna kitu takataka mtafanya!
 
KUNA TOFAUTI KUBWA Kati ya KUSOMA HOTUBA ya KISWAHILI na KUHUTUBIA kwa KISWAHILI.

Unapo soma taarifa iliyoandaliwa bila kutolea ufafanuzi unachosoma, hiyo inakuwa sio hotuba yako Bali ya yule aliyeiandaa, hivyo wewe ni Msomaji tu wa hotuba kama ilivyoandikwa.

Unaposoma hotuba na kufafanua unachosoma, wewe ndio umeandaa hiyo hotuba ndio maana unaweza kufafanua. Hivyo wewe ndio umehutubia kwa kiswahili.

Unapotoa hotuba bila kusoma popote au kusoma kwenye summary, wewe unahutubia unacho kijua.

Niliwahi kuwa na rafiki mzungu pale kahama mwaka march1998 alikuwa hajui Kiswahili hata kidogo, yeye alikuwa muitaliano, alihitaji kuongea na wakazi wa kijiji cha mbulu, aliandaa hotuba kwa kiingereza na sisi tukaitafsiri kwa kiswahili. Siku ya kikao na wananzengo yeye aliisoma hotuba ya kiswahili kama ilivyo. Na aliisoma kwa ufasaha sana lakini alichokuwa anasoma hata hakijui ila alijua ni tafsiri ya ile aliyoandika kwa kiingereza. Hivyo yeye alikuwa msomaji tu na wala sio mhutubiaji.

Mwalimu akiingia darasani na kusoma notisi kama zilivyo bila kufafanua maana yake amejisomea mwenyewe maana hata wanafunzi wanajua lugha anayoisoma ila wanahitaji ufafanuzi.

Vipi kule ADI's Ababa ilikuwaje huko maana Mimi sijaona.

Aksanteni kwa kunisoma.

Deogratius N Kisandu
Chief Chairman elect of ACA expected
Jiandae kuitwa mchochezi. Sijui kama uko tayari kukaa mahabusu ila dhamana. Au kadi ya chama itakulinda ?
 
Ile hotuba nimecheka mpaka basi..

Mtu mzima unahutubia halafu wenzako wanapiga soga kana kwamba unachokiongea ni Pumba.

Mpaka nikajiweka katika hali ya mimi ndio nahutubia.
 
Back
Top Bottom