Hii ndio tofauti ya Easter Bulaya na Steven Wassira Bunda , Wassira alipiga porojo tu , Bulaya anatenda

Mtu unakuwa mbunge tangu enzi za Nyerere hadi leo lakini huna lolote ulilosaidia jamii , ni aibu sana !
Jamii itajikomboa yenyewe, ikisaidiana na viongozi wote kwa ujumla, siyo mbunge wewe mjita wanyamitwe ebhiri funguka!, sasa jiulize wewe kama mwanajamii umefanya nini?
Unanangalia wengine tu eti wakuletee maendeleo? wewe unaturutumba tuuu.

Hiyo mipango ya solar ilikuwepo tangu kitambo, yeye ameikuta tu, kwani huyo bulaya wenu anatengeneza Solar? au amenunua hela katoa wapi?
Wasira yeye aliwataka wana Bunda wajue kuvua samaki wenyewe kwa nyavu zao. lkn kwako wewe unona kupewa samaki ndo bora zaidi unakula hujui kesho yako ikoje,
anayejua kuvua atavua mpaka na kuuza za ziada pesa atapata. but wewe ukila ndo umekula ivo.

sasa hizo solar panel zikichakaa mtapata wapi nyingine?

afadhali wasira yeye alitaka umeme wa kutumia kinyesi cha ng'ombe, au binadamu,na majani hivi vinapatikana kirahisi, akichanganya na solar
 
Back
Top Bottom