Halafu baadae mafao yao wanyimwe!!!!
Hatari sana
Kwani huoni wamevaa kofia ngumu, buti na reflectors au unataka waweje?sheria za usalama zinaruhusu kufanya kazi kwenye mazingira haya?
kubeba mavyuma hayo begani?Kwani huoni wamevaa kofia ngumu, buti na reflectors au unataka waweje?
Bado tupo kwenye primitive lifeKazi ya maboresho ya reli ya kutoka korogwe - Mombo-Moshi-Arusha imeshafika stesheni ya Mombo, kazi zinazokamilishwa kwa awam ya 1 ni kumalizia bàadhi ya maeneo yaliyoachwa kutokana na reli au vifungashio kungolewa na kuibiwa
View attachment 646490 View attachment 646491 View attachment 646492 View attachment 646493
Mkuu mbona unapenda kufananisha sana mambo kifupi kila nchi ina expansion jointi zake so tusipangiane expansion joint ziwejeMimi nangoja kuona expansion joint
Ulitaka wabebe na meno? Na kushusha reli kutoka kwenye gari unataka watumie winch? Au hujui manual workskubeba mavyuma hayo begani?
Ndiyo standard gauge ya CCM hiyo, ambayo hata punda akipita anaimomonyoa haraka.
Utaitwa central kwa uchocheziMimi nangoja kuona expansion joint
Utaitwa central kwa uchochezi