Hii ndio Tanzania bana; ufisadi mkubwa wa billion 1.8 mfuko wa lapf (serikali za mitaa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio Tanzania bana; ufisadi mkubwa wa billion 1.8 mfuko wa lapf (serikali za mitaa)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 26, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Aisee ukisoma tanzania daima unaweza jiuliza kwa nini na ninani aliemweka rais kikwete madarkani
  ingawa jibu wanalo viongozi wa dini wakiongozwa na mfalme mokiwa.......
  Turudi hapo juu

  kamati ya bunge ta hesabu za mashrika ya umma imebaini ufisadi wa kupindukia na wa kutisha wa kiasi cha sh billion 1.8 mfuko wa penshen wa serikali za mitaa lapf na kampuni hewa ya gk hotels &resort ya southafrica ambazo zimepotea atiiiiiiiii katika mazingira ya kutatanisha

  hayo yamebainika jana katika mahesabu ya mfuko huo ambapo kaimu mwenyekiti wa kamati hiyo mh murtaza mangungu mbunge wa ccm kilwa alipowataka viongozi wa lapf kutoa maelezo ya kina namna mkataba wa hii kampuni ulivyoingia na baadae kuwapa peacokck hotel ya dar es salaam

  akitoa maelezo mkurugenzi wa lapf mh elius sanga alisema mara baada ya kubaini kampuni hiyo ya south africa alipi makusanyo ya kodi ya kitega uchumi kilichopo kijitonyama walilazimka kuvunja mkataba huo na kuwapa peacock hotel
  alisema kampuni hiyo ya south ilishindwa kulipa makusanyo ya kodi na pamoja kulipa deni la m kopo wa million 500

  hata hivyo majibu hayo yaliamsha hasira na matusi katika wajumbe wa poac hali iliomlazimu mh mangungu kuomba utulivu wa muda...akionyeshwa hasira za taarifa hiyo mbunge wa ccm esther bulaya alisema kutokana na taarifa na uchunguzi aliofanya inaonyesha kampuni ya gk hotels ya kitapeli na aina tofauti na richmond..hapa tunarudia kesi za richmond jamani watu wanakufa kwa kukosa ambulance madawa huku watu wanatengeneza kampuni feki wanasajili southafrica wanaleta dar na kuchota no sasa imetosha hapa lazima watu wafikishwe mahakamani kama walihisi richmond wameachwa then hii lazima tulifwatilie na walioingia mkataba watatuambia wako wapi hawa....

  Alisema uchunguzi wangu nimeenda adi southafrica akuuliza hii kampuni aipo nawaambia wajumbe wala adress walizoandika akuna kama hicho...huu mchezo mchafu unafanywa na viongozi wa juu wa lapf kwa kuutumia madaraka vibaya kwa kuanzisha kampuni uchwara chafu zikionyesha zinatoka nje kumbe ni zao
  mwenyekiti wa poac alisema amemuomba mwanasheria wao atoe maelezo juu ya sakata hilo ambalo alisema walilazimika kwenda southafrica kutafuta hiyo kampuni mpaka leo awajaipata na hata ubalozi ulijaribu kufanya wawezalo na kukuta hata adress waliotupa ni feki...

  Kutokana na majibu hayo ililazimika wajumbe wa poac kuwafukuza nje wa lapf na baada ya muda wajumbe wa lapf wakiongozwa na mwenyekiti wa bodi wakaitwa nakuambiwa kutotkna na sheria za bunge na mamlaka waliopewa wameomba mpaka jumatano ijayo wawe wameshapata mikataba ya lapf na hao matapeli pamoja na peacock hotel ambayo aijalipa zaidi ya million 300..yessssssssssssuuuuuuuuuu na mariaaaaaaaaaaaaa kheee hiii nchi tamu hivi jamani??

  Ukiwa kama mtanzania unawahukumu vipi viongozi hawa matapeli wa lapf ..nilimwona sanga akianza kuongeza gorofa moja baada ya nyingne sasa nimejua kaka anakula wapi...'
  embu wabunge hiiizi story zisiishie magazetini jamani watu wawekwe ndan wahusika
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Napita tu hapa naogopa nisijezikwa jangwani usiku wa manane RIP Gadaffi wananchi wako wamekusaliti kama vile Yuda Iskariot alivyomsaliti Yesu,lakini laana yako haitawaacha ,huo uhuru waliokuwa wanautaka sasa wataupata kupitia SHARIA !!!
   
 3. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu ukiona hivyo basi sio ishu nyepesi hiyo, lazima walinzi na wahusika wa ishu hizi ni viongozi wetu wa juu otherwise itawezekana vipi watu waingie mikataba ya dizaini hii? Kuthibitisha niliyosema hautaona yeyote atakachukuliwa hatua
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  we ar still having a very long way to go!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha sana sana ati mkurugenzi anadai jamaa wanadaiwa million 750...aisee yaani mpaka wanafikisha million 300 awajaulizia kodi yao loh...alafu na huyo mpya nae anaenda huko huko mpaka sasa peacock anadaiwa million 300 jamani
  kuna dili gani sanga mbona amuonei huruma hii nchi wwewe sanga umebaki kusafiri nje ya nchi kama loliondo umwogopi mungu na wenzako jamani
   
 6. J

  Jildiz Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  There is no solution to UFISADI in this country before CCM is BURRIED in unknown place and its leaders thrown into the SEA
   
Loading...