Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Katika kile ambacho hakukutarajiwa na wengi,safari hii kumekuwepo na wagombea wengi wanaosaka Uraisi kupitia ccm ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Moja ya mambo ambayo yamenisukuma kuandika uzi hiu ni pale nilipoona hata wale waliosemekana ni wafuasi wa kambi fulani nao wemechuka fomu.
CCM ni chama Kikongwe na ni chama chenye demokrasia (usisahau kila nchi ina tafsiri yake ya demokrasia-vivyo hivyo vyama vya siasa hususani vilivyoko madakani kwa Afrika vina utamaduni wao ambao ndio wanautafsiri kama demokrasia). Utaratibu wa CCM unajulikana wazi kwamba utu uzima ama uzee ndio busara na haitoshi maamuzi ya wazee(wachache) wote twapaswa kuyafuata. Pia utamaduni mwingine wa CCM ni wa kila anayetaka uongozi ajipime mwenyewe kabla ya kupimwa.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na vurumai ya kuvuruga utaratibu na miiko ya CCM Bila kuogopa mustakabali wa chama (Inawezekana kila mmoja anahisi utaratibu wa awali haukuwa sahihi).Pia upo uwezekano kwamba alisema wazee wasiwe na maamuzi ya juu kama ilivyokuwa awali ndiye aliyevuga utaratibu hivyo wengine wakaamua wafanye watavyo.
Waliojitokeza kwa kutandaza nia hushangai kwa makusudi wakiwa na sera zao mkononi kana kwamba chama hicho hakina sera. Mbaya zaidi ni pale wanapoelezea sera zinazokinzana na sera ya chama wanachotaka kukiwakilisha (tusiwahukumu kwa Hilo inawezekana demokrasia ya chama iliwanyima fursa yakufanya haya mazuri wanayotueleza sasa). Kwa tafsiri ndogo nayoipata ni kama Mwalimu ambaye hafundishi wanafunzi anatarajia kufundisha atakapota ukuu wa shule.
Napata mashaka kwamba siri ya hawa (Baadhi yao) wanaotangaza nia kupitia CCM ni wasaka uwaziri kiujanja ujanja ( waonekane kwamba nawanaushawishi- wasiachwe kwenye serikali ijayo kama ccm ikishinda ).
Nawasilisha.