Hii ndio simu ya kwanza kutumika duniani

Bonge La Afya

Member
Dec 19, 2016
31
71
alexandergrahambell-450.jpg

Alexander Graham Bell Using the First Telephone

Mawasiliano ni jambo ambalo sasa mtu akilikosa anapoteza mambo mengi sana, Upande wa simu sasa

tumefika mbali sana kimaendeleo kwani ndio teknolojia

inayotumiwa na watu wengi Duniani.

Idea nyuma ya swala zima la uvumbuzi wa kifaa hiki ni rahisi sana kwani ni kifaa kinachobadirisha sauti kwenda umeme na baadae kuubadilisha umeme kwenda sauti, na hasa ni sauti ya binadamu.

Ni kweli rahisi kwa kusoma, Lakini amini imatumia miaka mingi sana mpaka leo kua na kifaa hiki cha mawasiliano.

Baada ya majaribio mengi kushindikana , Mnamo mwaka 1876 mwanasayansi kutoka Uingereza Alexander Graham Bell ( scottish ) alifanikisha uvumbuzi huo wa simu lakini ikawa mnawasiliana saa moja tu,

Kwa mafanikio makubwa mnamo mwaka 1877 Bell alifanikiwa kuwezesha simu kupiga masaa mawili na kuendelea na mazungumzo yake ya kwanza alifanya na mfanyakazi wake wa kampuni kwa kumuita ofisini alipokua ana shida nae , na hapo ndipo alifanikisha uvumbuzi wake.

=======

alexandergrahambell-portrait.jpg

Alexander Graham Bell

Alexander Graham Bell lived from 3 March 1847 to 2 August 1922. He was a scientist, inventor, and innovator. Born and brought up in Scotland, he emigrated to Canada in 1870, and moved from there to the United States in 1871. Bell is widely known for developing and patenting the telephone. He also produced important innovations in aviation and hydrofoil technology. The wider picture in Scotland at the time is set out in our Historical Timeline.

Bell was born in Edinburgh, the middle child of three boys, but both his brothers died of TB as children. His father was Professor Alexander Melville Bell, and his mother was Eliza Grace Symonds Bell. At the age of 11, the young Alexander adopted "Graham" to reflect his regard for a family friend, Alexander Graham.

The family had strong links with the teaching of speech and elocution, and Bell's father, grandfather and uncle were all elocutionists. Bell's father was also the developer of the idea of "Visible Speech", which helped the deaf read people's lips and to speak themselves. Bell's mother and his paternal grandmother were both deaf, and his father is sometimes regarded as a pioneer in the field of opening up communication for deaf people. On the other hand, he seems to have held strong prejudices against the deaf, and believed that it would be possible to eliminate hereditary deafness through eugenics.

Bell was educated at the Royal High School in Edinburgh. At the age of 16, he became a pupil-teacher of elocution and music at Weston House Academy in Elgin. The following year he attended the University of Edinburgh, and later graduated from the University College of London. From an early age, Bell was interested in acoustics, with the intention of helping his mother cope with her deafness.

In 1870, the 23 year old Alexander Graham Bell and his parents emigrated to Canada, and in the same year he became a Canadian citizen. In 1871, Bell took up a invitation - originally intended for his father - to teach the System of Visible Speech at a large school for the deaf in Boston, Massachusetts. He went on to become Professor of Vocal Physiology and Elocution at the Boston University School of Oratory.

By this time the United States had come to rely heavily on telegraph traffic and the search was on to find ways of allowing a single wire to carry more than one message at a time. Bell became one of a number of inventors to work on the problem. On 14 February 1876, Bell's lawyer filed an application with the US patent office for the telephone.

Two hours later, Elisha Gray, who had been working on a parallel but closely related line of research, did likewise. Bell's patent was issued on 7 March 1876. Later in 1876, Bell offered to sell his patent outright to Western Union for $100,000. They declined and the Bell Telephone Company was formed in 1877. When Western Union tried to buy the patent for $25 million in 1878, Bell no longer wanted to sell.

Considerable controversy surrounded the granting of Bell's patent, which was later challenged by both Elisha Gray and by the Italian, Antonio Meucci, who had produced a practical design for a telephone as early as 1872 but whose design had apparently been lost by Western Union before it could be patented.

Bell went on to produce a wide range of other innovations. These included the photophone, in which sound could be transmitted over a beam of light: the forerunner of today's optical fibres. He also worked on the use of magnetic fields to record sounds on magnetised objects. Though this went nowhere at the time, it proved to be the forerunner of tape recorders and computer disks. In 1881 Bell invented the metal detector in an effort to locate the bullet in the body of US President James Garfield.

The detector worked, but proved unable to help Garfield because of the metal frame on the bed he was lying on. In 1908 Bell designed the first practical hydrofoil boat. At around the same time, he was an active participant in a group exploring aeronautics whose work led to the invention of the aileron (in parallel with others). Other inventions included a detector of icebergs, a practical means of separating salt from seawater, and innovations in the use of alternative fuels.

Later in life, Bell became a prominent proponent of the principle of Eugenics, the improvement of human hereditary traits through various forms of intervention. He strongly advocated laws for the compulsory sterilisation of people deemed to be, in Bell's words, "a defective variety of the human race". By the late 1930s half the states in the USA had passed eugenics laws, with those in California being used as the basis for eugenics laws that were implemented in Nazi Germany.

Despite this, Bell achievements were such that he was publicly voted by TV audiences to be among the 100 Greatest Britons in 2002, the top-ten Greatest Canadians in 2004, and the 100 Greatest Americans 2005. Bell was the only person to be included on more than one of those lists. But he was never to be aware of any of this: he died in 1922 at the age of 75.

Chanzo: Alexander Graham Bell: Biography on Undiscovered Scotland
 
Hawa jamaa achana nao. Marekani ipo kwenye mradi wa USD 500 mil. kwa ajili ya kutengeneza pump kubwa kufyonza maji ya Mto Mississipi kipindi cha mvua kubwa ili kuondoa mafuriko katika jiji la New Orleans linaloathirika sana na hali ya hiyo.

Pump hiyo ina uwezo wa kusukuma kiasi cha galons 150,000 sawa na mabwawa 15 ya kuogelea Olimpics kwa dakika.

Kwa upande mwingine it has come to my attention that karibu ya robo ya maji safi yote duniani yako Tanzania ambapo L. Tanganyika linacontain about 18% of all world's fresh water. Ni aibu kwa eneo lolote la nchi hii hususan Tabora, Singida, na Dodoma kutokuwa na maji salama.
 
ugunduzi huo mkuu.......
 
Smtym nahisi kweli sisi tunafanana tu na binadamu kamili
 
Tanzania tuna laana, watu ambao hawawezi hata kuchagua good leaders hawawezi kufikiri sawa sawa. Wanazoea matatizo na matatizo yanakuwa sehemu ya maisha yao na kila mmoja wao anaamini kuwa maisha ndio hayo na wala hakuna namna ya kuyaboresha
 
Hawa jamaa achana nao. Marekani ipo kwenye mradi wa USD 500 mil. kwa ajili ya kutengeneza pump kubwa kufyonza maji ya Mto Mississipi kipindi cha mvua kubwa ili kuondoa mafuriko katika jiji la New Orleans linaloathirika sana na hali ya hiyo.

Pump hiyo ina uwezo wa kusukuma kiasi cha galons 150,000 sawa na mabwawa 15 ya kuogelea Olimpics kwa dakika.

Kwa upande mwingine it has come to my attention that karibu ya robo ya maji safi yote duniani yako Tanzania ambapo L. Tanganyika linacontain about 18% of all world's fresh water. Ni aibu kwa eneo lolote la nchi hii hususan Tabora, Singida, na Dodoma kutokuwa na maji salama.
Kama ningeombea urais wa Tanzania..
ningeomba Kura kwa Kauli Mbiu ya..NIPENI MIAKA MITANO TU NIWAMALIZIE TATIZO LA MAJI NA UMEME BAADA YA HAPO MUWACHAGUE WENGINE..
 
Ukibadilika, watabadilika. Nyani ni walewale wanabadilisha misitu tu. Hatutafika sehemu yoyote kama tutaendelea kukumbatia vyama. Wenzetu wanajitambua ndio maana Ronald Reagan anasema

"America well does what is in their best interest."

Kigezo cha mtanzania kupata wadhifa lazima uwe mshirika wa chama hata kama ni mbovu kiasi gani.

Viongozi tunawachagua wenyewe ambao hawajui waendako ni huruka ya uongozi wapige madili. Hamna utaifa.
 
Back
Top Bottom