Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
Wakati wa kampeni mwaka jana nilipata shida sana juu ya nani wa kumpa kura yangu katiya hawa wagombea wawili Dr John Pombe Magufuli pamoja na Mh Edward Lowassa hii ni kwa sababu kuu mbili, 1.Nilikuwa nina imani na kumkubali san Magufuli lakin nilikuwa naichukia san CCM kiasi cha kuona wote majizi tu,, 2. Nilikuwa sina imani wala simkubali hata kidogo Lowassa lakin Nilkuwa naikubali sana UKAWA na nilikuwa muumin mzuri sana wa mabadiliko hapa ndo shida ilitokea je nimpe nan kura,