Hii ndio Serikali inayojinasibu kupambana na wizi na ufisadi!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Ziito Kabwe anaandika kupita twitter:

Namsoma CAG Ukaguzi Maalumu wa ununuzi wa magari ya @tanpol . Magari 777 kwa mkopo wa Shs Bilioni 47. Hayakufika. Polisi wakapewa Shs Bilioni 42 zingine kununua magari 276. Jumla Bilioni 89! Serikali ya Magufuli ilikazia mkataba huu Dec 2015 na February 2017 ( @mwigulunchemba1 )

D4le7QWW4AAcXKJ.jpg

D4le7QUWwAA6z-K.jpg

D4le7QNXsAA1red.jpg

D4le7QaW4AAZXel.jpg
 
Mbona ya kwake ameyakalia hayasemi? Amesahau alipokula pesa za Mashirika ya umma alipokuwa mwenyekiti? Amesahau alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alivyokuwa anakwapua pesa hadi akanunua gari LA kifahari Aina ya hama alipoona wanamzonga akaliuza Burundi?

Tulia zito huna hoja huu ni wakati wa ww kuishi kama shetani baada ya kuishi kama Malaika enzi za rafiki yako Jakaya
 
Yaani mtu anachimbua madudu ya matumizi ya kodi zetu wewe unam attack. Hii ina maanisha wewe ungesoma hiyo report haya madudu ungejidai hujaona. Kuna ushabiki na ulimbukeni.
 
Hii inaijibu hoja yake?
au inawapa kichaka cha kujificha msijibu hoja.
Kamwe hoja haijibiwi kwa kauli za mbona.
Bali kwa majibu na kama unakesi ya mdau anayekutuhumu nawe unaweza kufungua hoja yako
 
Mbona ya kwake ameyakalia hayasemi? Amesahau alipokula pesa za Mashirika ya umma alipokuwa mwenyekiti? Amesahau alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alivyokuwa anakwapua pesa hadi akanunua gari LA kifahari Aina ya hama alipoona wanamzonga akaliuza Burundi?

Tulia zito huna hoja huu ni wakati wa ww kuishi kama shetani baada ya kuishi kama Malaika enzi za rafiki yako Jakaya
Usithubutu kufikiri humu kuna watu wapumbavu kama wewe...kama Zitto aliiba weka evidence hatetewi mtu mwizi kamwe...Ila CAG katufumbua macho...ili iwe wazi kwa wote wenye macho..Mungu amlinde Prof Assad
 
Mbona ya kwake ameyakalia hayasemi? Amesahau alipokula pesa za Mashirika ya umma alipokuwa mwenyekiti? Amesahau alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alivyokuwa anakwapua pesa hadi akanunua gari LA kifahari Aina ya hama alipoona wanamzonga akaliuza Burundi?

Tulia zito huna hoja huu ni wakati wa ww kuishi kama shetani baada ya kuishi kama Malaika enzi za rafiki yako Jakaya
Haya usemayo yapo ukurasa gani wa report ya CAG?
 
Mbona ya kwake ameyakalia hayasemi? Amesahau alipokula pesa za Mashirika ya umma alipokuwa mwenyekiti? Amesahau alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alivyokuwa anakwapua pesa hadi akanunua gari LA kifahari Aina ya hama alipoona wanamzonga akaliuza Burundi?

Tulia zito huna hoja huu ni wakati wa ww kuishi kama shetani baada ya kuishi kama Malaika enzi za rafiki yako Jakaya
Hilo gari ka kifahari lipo kwenye ripoti ya CAG??
Na hata lipo je tuibe kisa fulani naye aliiba?
 
Mbona ya kwake ameyakalia hayasemi? Amesahau alipokula pesa za Mashirika ya umma alipokuwa mwenyekiti? Amesahau alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alivyokuwa anakwapua pesa hadi akanunua gari LA kifahari Aina ya hama alipoona wanamzonga akaliuza Burundi?

Tulia zito huna hoja huu ni wakati wa ww kuishi kama shetani baada ya kuishi kama Malaika enzi za rafiki yako Jakaya
Mkuu tumia ubongo kufikiria, hiyo pesa ni nyingi mno , kuanza kumshambulia Zito ujuha
 
Mbona ya kwake ameyakalia hayasemi? Amesahau alipokula pesa za Mashirika ya umma alipokuwa mwenyekiti? Amesahau alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alivyokuwa anakwapua pesa hadi akanunua gari LA kifahari Aina ya hama alipoona wanamzonga akaliuza Burundi?

Tulia zito huna hoja huu ni wakati wa ww kuishi kama shetani baada ya kuishi kama Malaika enzi za rafiki yako Jakaya
usisahau na zile fedha za wanyonge walizopiga na comrade wake dauda,vipi ile shopping centre yake kule kisasa kama unaenda kotazi za ffu ilishaisha.mambo ni mengi mda mchache.
 
Mbona ya kwake ameyakalia hayasemi? Amesahau alipokula pesa za Mashirika ya umma alipokuwa mwenyekiti? Amesahau alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alivyokuwa anakwapua pesa hadi akanunua gari LA kifahari Aina ya hama alipoona wanamzonga akaliuza Burundi?

Tulia zito huna hoja huu ni wakati wa ww kuishi kama shetani baada ya kuishi kama Malaika enzi za rafiki yako Jakaya
Kwanini msimpeleke mahakamani?
 
Back
Top Bottom