LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,101
- 27,075
Come.to think of it.
Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na kuanza kuokota makopo Ile ya kiuwehu wehu kabisa.
Binafsi nimewashuhudia watu wengi Tu ambao walijiingiza kwenye ujasiriamali huu na sasa hivi wamekuwa wendawazimu kabisa.
Mpaka ilifika kipindi nikaanza kuamini kuwa huenda hawa watu wakawa wanarogezewa Uchawi na wanapo Anza KAZI ya kuokota makopo basi Uchawi ndo unakuwa umewaingia na mwisho wa siku huo Uchawi Una graduate na mhusika kuwehuka kabisa.
Sababu za kiroho kwanini watu hawa huishia kuwa wehu?
Kwa sababu wanakanyaga majalalani na kuchukua vitu vya majalalani mara nyingi Sana Kwa siku.
Kwa wastani muokota makopo anaweza kutembelea kwenye majalala 70 mpaka 100 Kwa siku ambako mbali na kukanyaga kwenye majalala hayo huchukua vitu vilivyo tupwa kwenye majalala hayo.
Majalala NI makaazi ya MAJINI WA kisheitwani ambao mbali na kusababishia matatizo mengine kama.vile nuksi nakadhalika lakini Pia ndio MAJINI wanao husika na kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu.
Nadhani ndio maana uchafu huwa unahusishwa na uwendawazimu.
So hawa jamaa hukumbana na MAJINI WA jalalani ambao huwaingia na kuwafanya kuwa wendawazimu.
Katika.ulimwengu WA Wachawi, majalala.ni.madhabahu yenye nguvu kubwa Sana Kwa habari ya kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu au kuwashusha nyota watu maana MTU aliye tiwa maradhi ya uwendazimu huyo.nyota yake.imeshushwa. Hawezi kuheshimika.wala.kuaminiwa na yoyote. Kama NI mfanyabiashara basi.biashara ndio imekufa hivyo.