Hii ndio sababu watu wamemmiss JK

Pazii

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
398
296
Nimeanza kumuelewa JMP pale aliposema tumeibiwa sana. Tumechezewa sana. Alafu issue kama hizi ndio za kudiscuss kuliko umbea. Hebu angalieni CAG hapa

ni kweli tumeibiwa sana lakini isiwe kisingizio cha kubana hivi mbona Huduma nyingi zimedorora!? afya Maji,elimu nk..
 
Huduma gani zimedorora?.Mbona vyote hivyo tunapata?Au wewe uko Burundi?
 
Katika kundi la wezi na wapiga deal mbona na yeye yumo? Sasa anajiwekaje pembeni wakati naye akiwa ni mmoja wa wahusika Wakuu wa wizi na ufisadi? Asichezee akili na kumbukumbu zetu.

Nimeanza kumuelewa JMP pale aliposema tumeibiwa sana. Tumechezewa sana. Alafu issue kama hizi ndio za kudiscuss kuliko umbea. Hebu angalieni CAG hapa

Nimeanza kumuelewa JMP pale aliposema tumeibiwa sana. Tumechezewa sana. Alafu issue kama hizi ndio za kudiscuss kuliko umbea. Hebu angalieni CAG hapa

Eeeh serikali "makini" haijui?..aaah mzee wa kutopangiwa kafeli. Au anajua ila katulia tu?
[HASHTAG]#derevawaloribovu[/HASHTAG]
 
Huduma gani zimedorora?.Mbona vyote hivyo tunapata?Au wewe uko Burundi?
Mimi nimethibitisha upungufu wa chanjo za watoto mawilayani,,,, tiba ni hafifu hiyo ni kweli kabisa,,,, ila bia, soda zipo chee labda unataka ushahidi gani
 
Back
Top Bottom