Msengerema sana we jamaaUkiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.
Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.
Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.
Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.
Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Ukiona mikelele mingi ujue debe hilo ni tupuNdugu yangu mimi familia yangu ni ya wafanyabiashara kizazi na kizazi...kuhusu pesa zipo tena sana.
Hata kabla ya ukoloni familia yetu ilikuwa inaheshimika sana.
Una bahati hatutumii true identity zetu...ungekuwa unanisalimia kwa kupiga magoti.
NonsenseUkiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.
Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.
Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.
Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.
Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
OfisaCV yake ya chuo siijui,ila nahisi ameelewa vyema masomo ya finance ya utakatishaji .ni mzuri na anafaa kwenda wizara ya ujenzi atapambana mabarabara yejengwe na akipelekwa wizara ya maji ataimudu vyema yale mahesabu ya ma enginiier ambao huiba kwenye vipimo.
🤣🤣Mtu mkubwa sio, unazungumziaje zile clip akifanya uvamizi saa nane za ucku hotelin? Au ndo procedure za kuja kua mtu mkubwa nn!!!Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.
Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.
Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.
Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.
Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Labda tungeanzia kutaka kujua umri wako!Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.
Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.
Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.
Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.
Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Sokoine kafa akimiliki mali zipi na sabaya kafukuzwa akimiliki mali zipi based kwa fyeo vyao,watanzania sio wajinga mnashindwa babadua Hata vitu vidogo ,kwamba kizazi Cha akina Mwl nyerere,kawawa, Sokoine , karume, n,k mnalinganisha na vijana wa Kipindi hichi ambao wamechanganyikiwa ( kauli ya mzee mmoja kwenye kikao Cha Rais na wazee)Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.
Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.
Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.
Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.
Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Kuongozwa na sabaya never and never againUkiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.
Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.
Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.
Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.
Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Where we dare....kama JF imeanzishwa na babu yako... itapigwa ban.
Kwa huuu upuuzi na first degree madness hatakama uwe nani siwezi kukuheshimuNdugu yangu mimi familia yangu ni ya wafanyabiashara kizazi na kizazi...kuhusu pesa zipo tena sana.
Hata kabla ya ukoloni familia yetu ilikuwa inaheshimika sana.
Una bahati hatutumii true identity zetu...ungekuwa unanisalimia kwa kupiga magoti.
cv huijui halaf unasema "finance ya utakatishaji" kwanza hakuna coz kama hiyo duniani.CV yake ya chuo siijui,ila nahisi ameelewa vyema masomo ya finance ya utakatishaji .ni mzuri na anafaa kwenda wizara ya ujenzi atapambana mabarabara yejengwe na akipelekwa wizara ya maji ataimudu vyema yale mahesabu ya ma enginiier ambao huiba kwenye vipimo.
Who care about your income , sikiliza pesa haitakuzika,but utazikwa na WATU ,utaoza , utabaki peke yako nje pasipo na 6by 6 sofa au raha yoyote ya dunia and then utabaki skeleton, Bahada ya mwili wako kuoza ,na kushambuliwa kila aina ya wadudu ukiwa futi za kutosha, nyumba , fedha , mke/ mme ,watoto,rafiki ,chama hutokua navyo ,so jifunze kutenda mema angali hu hai ,kujibu unapesa/ utajiri hii haikusaidii loloteNdugu yangu mimi familia yangu ni ya wafanyabiashara kizazi na kizazi...kuhusu pesa zipo tena sana.
Hata kabla ya ukoloni familia yetu ilikuwa inaheshimika sana.
Una bahati hatutumii true identity zetu...ungekuwa unanisalimia kwa kupiga magoti.
Nonsense na UpumbavuUkiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.