Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.
Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.
Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.
Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.
Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.