Hii ndio sababu kwanini hatukutaka kuchanganya hesabu ya wagojwa wa COVID-19 na Tanganyika

Foro

Member
Mar 19, 2020
34
69
Watanganyika wengi walikua wanahoji kwa nini wagonjwa wa Corona wasiwe wanachanganywa wote wa bara na visiwani jawabu leu kubwa ilikua kwamba Afya si swala la Muungano lakini zaidi ya jawabu hilo kulikuwa na sababu nyingine nyingo

Miongoni mwa hizo Tanganyila kutoendesha mambo yake kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizowekwa wanaenda zaidi kwa MATAMKO na si sheria ni ONE MAN SHOW lkn ZANZIBAR ni Nchi inayoendeshwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilowekwa

Mifano mengine hii hapa ZANZIBAR iliitangulia Tanganyika kutambua HAKI ZA BINAADAMU HUMAN RIGHTS ndani ya katiba yake kabla ya Tanganyika

Vile vile ni muda sasa ZANZIBAR inatambua Serikali ya umoja wa KITAIFA jambo ambalo Tanganyika hawana

Pia ZANZIBAR huwezi muweka mtu kizuizini zaidi ya masaa 24 bila ya kumfikisha mahakamani

Nikirud ktk point yangu wagonjwa wangechanganywa basi DATA zingevurugwa ukweli ukafichwa haingii akilini toka majuzi mpaka LEO eti Tanganyika hawana kesi mya za Korona sasa hivi kuna kesi za wanaopona TUU

Mjitambue banaaa!
 
Mi naipongeza sana hii serikali,hizi taarifa za corona tusingekuwa tunapewa kabisa yaani..wafiche tu maisha yaendelee
 
Tunajifukiza....njooni Danganyika tuwafundishe:D:D:D

Everyday is Saturday......................:cool:
 
chagu wa malunde Huna ulijuwo kuna mambo ya Muungano na mambo yasio ya Muungano article ya Muungano ili ridhia mambo 11 baada hapo mambo yakavungwa vungwa tuu lkn bado Afya Elimu Kilimo Habari Utalii uvuvi Mafuta gesi si vya Muungano matusi yako havitavigeuza hivyo sasa basi wizara isiyo ya Muungano kwa ikifanya kazi bara inaifanyia kazi Tanganyika japo hilo jina hamlipendi

Na ndioaana KAMATI ZOTE zilizoundw kutatua kero za MUNGANO Zilipendekeza uwepo wa Serikali tatu ambazo wanasiasa wame goma kutekeleza mpka LEO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom