Hii ndio sababu kubwa ya bunge kutorushwa live

Oct 7, 2015
86
108
habari ndugu zangu .
binafsi nahisi moja ya sababu kubwa ya bunge la jamhuri ya muungano kutorushwa live ni pamoja na hii tabia ya baadhi ya wawakilishi wetu (hasahasa wa ccm) kwenda bungeni kwa ajili ya kusinzia tu ,kama Mhe. Hafidh Ally Twahir. MB wa Dimani Zanzibar alivyonaswa leo na camera za wadukuzi.
WhatsApp-Image-20160505.jpg
 
View attachment 345070
Mkuu kumbe ulikuwa hijaligundua hili? Yaani mbwembwe na Sara kasi zote hizo ni kuwahifadhi wabunge vilaza
 
Mi ccm ni majanga bungeni;Sasa MTU anasinzia,ghafla meza zinagongwa makofi naye wanakurupuka kutoka usingizini bila kujua nn wanaunga na wao.Ni shida!.
 
Back
Top Bottom