Omba ibilisi wa kuchapiwa asifanye makao nyumbani kwako, aliyezaa anaweza kuheshimu ndoa na asiyezaa akaja kukuzalia mtoto asiye wako ndani ya ndoa.....na hii ndo mbaya sana maana utalea na gharama zote za uzazi mpaka makuzi kama zuzu tu, mkeo yeye anakuhurumia unavyopatwa na mastress in case mtoto anaumwa usiku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.