Hii ndio sababu herufi za jina ambulance kuandikwa kutoka kulia kwenda kushoto

Nilikuwa sifahamu hili, ahsante...

Umenikumbusha magari ya CHAI BORA nayo yalikuwa yanaandikwa neno CHAI BORA kutoka upande wa kulia kwenda kushoto
Labda sio mimi pekee niliyekuwa sifahamu, najua tuko wengi tuliokuwa hatufahamu ama tulikuwa tukifahamu bila ya kuwa na uhakika. Historia ya ambulance ilianzia Hispania na ujio wake katika ulimwengu wa kisasa ulianza miaka ya 1830s na hadi leo gari hili ni muhimu sana katika maisha yetu.

Gari hili huwa na king’ora, wakati mwingine msalaba mwekundu na taa inayowaka waka wakati likisafirisha mgonjwa mahututi. Na katika kila pembe huwa lina maandishi ‘Ambulance’ yaliyoandikwa kwa herufu kubwa kutoka kulia kwenda kushoto.

Madhumuni ya kuandikwa hivyo jina hilo ni kwa ajili ya kuwapa rahisi madereva wengine mbele ya ambulansi, kusoma vyema jina hilo kupitia kioo cha dereva.

Kawaida maandishi kwenye kioo huonekana tofauti na maandishi ya kawaida na ni kwa sababu hii ni bora kuandikwa kinyumenyume ili kusomeka vyema na rahisi katika kioo.

View attachment 1016904

Umenikumbusha magari ya CHAI BORA Mafinga nayo yalikuwa yanaandikwa neno CHAI BORA kutoka upande wa kulia kwenda kushoto
 
Mimi nilivyoona nikajua tunavyopenda vya dezo hizi tumeletewa msaada na nchi za uarabuni ! Leo na Mimi nimekuwa kama jiwe na wages siku ile nadhani alijuwa wejis imetajwa kinyume ya jiwe
hahahahaaa mat+ako kweli wewe
 
AMB.jpg

AMB1.jpg
 
Tongotongo zinatoka kweli sikuwahi kufikiri wala kudhani kwamba maandishi yameguzwa asante kwa hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom