Hii ndio sababu herufi za jina ambulance kuandikwa kutoka kulia kwenda kushoto

Labda sio mimi pekee niliyekuwa sifahamu, najua tuko wengi tuliokuwa hatufahamu ama tulikuwa tukifahamu bila ya kuwa na uhakika.historia ya ambulance ilianzia Hispania na ujio wake katika ulimwengu wa kisasa ulianza miaka ya 1830s na hadi leo gari hili ni muhimu sana katika maisha yetu.

Gari hili huwa na king’ora, wakati mwingine msalaba mwekundu na taa inayomwekamweka wakati likisafirisha mgonjwa mahututi. Na katika kila pembe huwa lina maandishi ‘Ambulance’ yaliyoandikwa kwa herufu kubwa kutoka kulia kwenda kushoto.
Madhumuni ya kuandikwa hivyo jina hilo ni kwa ajili ya kuwawilia rahisi madereva wengine mbele ya ambulansi, kusoma vyema jina hilo kupitia kioo cha dereva.
Kawaida maandishi kwenye kioo huonekana tofauti na maandishi ya kawaida na ni kwa sababu hii ni bora kuandikwa kinyumenyume ili kusomeka vyema na rahisi katika kioo.

View attachment 1016904

Asante sana nilikuwa sijui hii
 
duuuh.kumbee shukrani mkuu
 
Mimi nilivyoona nikajua tunavyopenda vya dezo hizi tumeletewa msaada na nchi za uarabuni ! Leo na Mimi nimekuwa kama jiwe na wages siku ile nadhani alijuwa wejis imetajwa kinyume ya jiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom