Hii ndio sababu halisi iliyo wafanya clouds waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Attachments

  • Screenshot_20181125-161634.png
    Screenshot_20181125-161634.png
    128.1 KB · Views: 15
Tutumie nguvu na akili kuwafundisha vijana kujikwamua kiuchumi kuliko kuwapa mafunzo ya kihuni; ingawa wanasema muziki ni ajira.

Nchi changa hii bado jamani.
 
Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.

Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.

Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.

  • Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
Nadhani una wazimu. Siyo bure
 
Team DAB mnaanza kupima upepo baada ya kufanya UJINGA wenu.

Mmelipotezea taifa mapato tarajiwa ya ambayo yangetokana ufanyaji wa biashara kwenye tamasha hilo.

Mmesababisha hasara kwa wafanyabiashara wadogo wadogo zaidi ya 200, makampuni zaidi ya 50.

Dhambi hii itawatafuna ninyi na hata kizazi chenu, lkn pia matokeo ya dhambi hii mtayapata hapahapa duniani.
 
Mauzo madogo ya ticket ndo ukubali kupata hasara ya Kutengeneza jukwaa..?? mafuta ya magari ya promosheni?? Kutengeneza mziki ulee..??? Unadhani tigi kuwa wadhamini pale ilikuwa bure bure... Kama huna kazii tafuta jamaa likusukumie motoooo...
Nani kakwambia clauds wamepatahasara??uko mikono walipokapita unadhani walipata hasara..hap wanafaida nyingi tu.suala shoo ya dar ndo ilikua inaendakuwapa total loss.wakajiongeza
 
Nani kakwambia clauds wamepatahasara??uko mikono walipokapita unadhani walipata hasara..hap wanafaida nyingi tu.suala shoo ya dar ndo ilikua inaendakuwapa total loss.wakajiongeza
Achaa uzuzuuu mzee...! Hasaraa inatoka wapi kwa mfano?????
 
Back
Top Bottom