Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,142
- 776
Shida amelalamika wakati clouds wanajenga jukwaa!!timing kali balaa!!Inawezekana yule pia amepangwa
Shida amelalamika wakati clouds wanajenga jukwaa!!timing kali balaa!!Inawezekana yule pia amepangwa
Dudu baya kachangia kwa asilimia fulani kwenye hilo suala
Malipo ni hapa hapa duniani
Nadhani una wazimu. Siyo bureZa kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.
Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.
Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.
- Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
Team DAB mnaanza kupima upepo baada ya kufanya UJINGA wenu.Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.
Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.
Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.
- Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
Nani kakwambia clauds wamepatahasara??uko mikono walipokapita unadhani walipata hasara..hap wanafaida nyingi tu.suala shoo ya dar ndo ilikua inaendakuwapa total loss.wakajiongezaMauzo madogo ya ticket ndo ukubali kupata hasara ya Kutengeneza jukwaa..?? mafuta ya magari ya promosheni?? Kutengeneza mziki ulee..??? Unadhani tigi kuwa wadhamini pale ilikuwa bure bure... Kama huna kazii tafuta jamaa likusukumie motoooo...
@Likud DAB anapima upepoHuu uzi umeuleta hii inaweza kuwa mara ya pili..
Lengo lako hasa ni nini?
Achaa uzuzuuu mzee...! Hasaraa inatoka wapi kwa mfano?????Nani kakwambia clauds wamepatahasara??uko mikono walipokapita unadhani walipata hasara..hap wanafaida nyingi tu.suala shoo ya dar ndo ilikua inaendakuwapa total loss.wakajiongeza
Anzisha kajolijotvNdio umhimu wa kuwa na washindani wengi, nashauri na kakayangu kiba aanzishe Kibatv/kingtv ili afanye matamasha na yeye wawe wng wasafi wasilewe sifa