Hii ndio ramani rasmi ya Tanzania, imetolewa leo Mei 17 2016

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Tz Map.jpg


Imetolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maendeleo na Makazi.
 
Ramani ya 2013. Hivi mipaka ya bahari kati ya Tanngayika na Zanzibar mbona inakuwa na usiri mkubwa. Hata hicho kidogo Mwenyezi Mungu kawapa Wanzazibari nacho mnataka kunyakua?
 
Yaani nilivyoona bango lako kuhusa ramani mpya, ikabidi nikimbilie kwenye lake Nyasa kuona kama limebadilishwa jina na kuitwa lake Malawi! Kha, kumbe bado ziwa tunalo...
 
Back
Top Bottom