Ohoooooo!!!Huku kwetu watu hawatumii viroba wanaona vinachanika mnoo kipindi cha jua kali sasa wanatumia magunia mbadala wa viroba
Karibu mkuu uonje kikupe mawenge hahahahhaa (joke)punguzeni mihemko
hiyo ni mtu kafanya ujinga wake kuja kupotosha watu na bila kuchunguza watu mnakurupuka kuanza kutoa maoni pasipo kuthibitisha kulichowekwa ni sahihi au si sahihi
batch145
made02 feb
mkato wenyewe ni wa mkasi au kiwembe tena umekosewa sana tu
acheni kupotosha watu
sipendi viroba na wala sijawahi kutumia na sitarajii kama nitakuja kutumia kwa umri huu