MO11 JF-Expert Member Mar 23, 2014 18,857 38,605 Dec 5, 2014 #2 utafiti hebu nitoe tongotongo hapa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
lyinga JF-Expert Member Nov 18, 2013 2,496 1,035 Dec 6, 2014 #3 utafiti said: View attachment 208301 Click to expand... Mweeeee ndo nini hichi.
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Dec 6, 2014 Thread starter #4 lyinga said: Mweeeee ndo nini hichi. Click to expand... Zoom kidogo utaona vizuri, ilipogwa juu sana
leonardo da vinc JF-Expert Member Apr 25, 2014 1,108 724 Dec 6, 2014 #6 Gwangambo said: Sijaelewa kitu hapa,,,,,,,,NAPITA Click to expand... Zoom utaona kuwa ndege wametengeneza umbo la ndege kwa wingi wao
Gwangambo said: Sijaelewa kitu hapa,,,,,,,,NAPITA Click to expand... Zoom utaona kuwa ndege wametengeneza umbo la ndege kwa wingi wao
God bell JF-Expert Member May 13, 2011 590 210 Dec 6, 2014 #7 mkuu ulivokuwa darasa la tatu hukufundishwa kuchora?
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Dec 6, 2014 Thread starter #8 God bell said: mkuu ulivokuwa darasa la tatu hukufundishwa kuchora? Click to expand... Hii siyo picha yakuchora mkuu. Nasubiri nione nani ataweza kuisoma??
God bell said: mkuu ulivokuwa darasa la tatu hukufundishwa kuchora? Click to expand... Hii siyo picha yakuchora mkuu. Nasubiri nione nani ataweza kuisoma??
T tondoli JF-Expert Member Apr 24, 2013 207 51 Dec 6, 2014 #9 utafiti said: hii siyo picha yakuchora mkuu. Nasubiri nione nani ataweza kuisoma?? Click to expand... isee mm nimeielewa,kama ni kweli hiyo picha ni ya mwaka.
utafiti said: hii siyo picha yakuchora mkuu. Nasubiri nione nani ataweza kuisoma?? Click to expand... isee mm nimeielewa,kama ni kweli hiyo picha ni ya mwaka.
dudupori JF-Expert Member Jan 6, 2012 1,793 1,903 Dec 6, 2014 #10 Picha inapendeza, na hao ndege wamejichora umbo kama la miili yao
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Dec 6, 2014 Thread starter #11 tondoli said: isee mm nimeielewa,kama ni kweli hiyo picha ni ya mwaka. Click to expand... Nikweli mkuu
tondoli said: isee mm nimeielewa,kama ni kweli hiyo picha ni ya mwaka. Click to expand... Nikweli mkuu
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,474 Dec 6, 2014 #12 huyu aliyepiga anastahili Hongera....