Hii ndio patashika kati ya machinga na mgambo iliyotokea hapo jana huko mwenge...!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,465
33,398

Leo jioni (jana) wakati natoka katika shughuli zangu nilipita maeneo ya Mwenge pale stand ya mabasi nimekuta kweupe wale vijana wanao uza nguo kwa kupanga chini na kuzishika sikuwaona ...nikauliza nikaambiwa

wamefukuzwa kwa ajili Oboma Anakuja...Mmhhh
Kazi kweli kweli ...Wakati bado nashangaa shangaa

Mara likaja gari la Polisi na Wale mgambo wa jiji...Mara nikaona watu wanakimbia huku na kule

...Kushangaa kumbe wale wamachinga bado wapo ila wanauza kwa kujificha ficha kwenye vichochoro vya

maduka..Sasa Kimbembe kikaanza wale wanamgambo wakawafuata huko huko na kuanza kuwapiga na

kuwavunjia meza na viti vyao...Kwa kweli iliniuma sana kuona watanzania wenzetu wakifanyiwa hivyo

....Bado sijapata jibu ...siko zote mbona hawakufukuzwa ?? Huu Ugeni ndio imekuwa Nogwaaaaa....Na

uhakika kuna ambao wanalisha na kutunza familia kwa kazi hizi za umachinga sasa watakula wapi kama hali ndio hiyo????

HII NDIO PATASHIKA KATI YA MACHINGA NA MGAMBO ILIYOTOKEA HAPO JANA HUKO MWENGE...!! - GUMZO LA JIJI
 
Umepose tatizo mbona hujapendekeza suruhu yake.
 
Mkuu Simiyu yetu Nimeweka sio kama kwamba nimependa hiyo picha nimeweka kwa uchungu nakutaka wewe utowe hoja zako. Mimi nimeshaweka kwa maana yangu wewe sasa towa hoja zako je unafurahishwa na hilo tendo wanalolifanya hao Mgambo au hufurahishwi? Kazi kwako.
 
Last edited by a moderator:
huku ni kujiiba tena ni dhambi sana kwa watu wanaojitafutia wenyewe sasa wewe ngoja uone ukabaji utavyoongezeka mitaani(wamachinga wamerudi kama zao)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mtz thamani yake ni kipindi cha kupiga kura tu; kipindi hiki atabembelezwa mpaka asahau machungu yote yaliyomsibu kwa kipindi cha miaka mitano! akishapiga kura yake anarudi kwenye hali yake ya unyonge kwa kipindi kingine cha miaka mitano!
Mfano mwingine ni Mtwara, hivi kipigo wanachokumbana nacho raia hao sasaivi watakuelewa kweli ukiwaambia ni watanzania huru? Je serikali ya namna hii ina tofauti na ile serikali ya mkoloni/kaburu?
Watawala hawa hawana huruma kwa raia.
 
Mkuu MziziMkavu, hujasikia kuwa kuna mtu anajiita mtoto wa mkulima ametoa tamko na kusema,"Wapigwe tu,tumechoka"? Sasa ndiyo nimejua maana halisi ya demokrasia kuwa ni kuwakandamiza wananchi kwa manufaa ya watawala wababe na vibaraka wao!
 
Huku maeneo ya tegeta kumetulia
hakuna kabisa watu wanaozagaa
kweli obama ni rais wa dunia
 
huku ni kujiiba tena ni dhambi sana kwa watu wanaojitafutia wenyewe sasa wewe ngoja uone ukabaji utavyoongezeka mitaani(wamachinga wamerudi kama zao)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Teh teh teh!kwa hiyo kiasilia wamachinga ni wakabaji?
 
Lakini hamwezi jua Mkubwa wa Tanzania akienda huko anapewa nn? maana hii ni ujinga uliokisiri " hv ww ustopishe Uchumi wa nchi yako kuendelea kwa wananchi wako kujitafutia kwa s'bu ya Obama" Unawapunguza wafanyakazi wa Airport eti atahudumiwa na wafanyakazi wake kwani ni nchi yake hii mpk akupangie kuwa ww unatakiwa ufanye nn,eti hataki miti mirefu na ww kweli unaagiza ipunguzwe mh!.Hata Mungu wako aumtukuzi hivyo.Aibu kwelikweli kwa nchi ya Tanzania ni jinsi gani bd tunatawaliwa alafu mnasema mna uhuru, uhuru gani huu? Haya bn CCM na nchi yenu
 
hivi nyinyi mshapanda basi hapo kituoni mwenge muone kero wanayosababisha hao wamachinga sijui nani wauza nguo,vitumbua,chupi,viatu????acheni kabisa hamna hata pa kusubiria basi ni vurugu mechi.....wacha waondolewe sasa hivi watu kidogo wanapanda mabasi kwa amani.
 
jaribu kuishirikisha akili yako,
kama ni kero kwann serikali haikufikiria swala hilo mapema?!
cha kushangaza wanaondolewa kwa nguvu kisa obama?!
 
Leo jioni (jana) wakati natoka katika shughuli zangu nilipita maeneo ya Mwenge pale stand ya mabasi nimekuta kweupe wale vijana wanao uza nguo kwa kupanga chini na kuzishika sikuwaona ...nikauliza nikaambiwa

wamefukuzwa kwa ajili Oboma Anakuja...Mmhhh
Kazi kweli kweli ...Wakati bado nashangaa shangaa

Mara likaja gari la Polisi na Wale mgambo wa jiji...Mara nikaona watu wanakimbia huku na kule

...Kushangaa kumbe wale wamachinga bado wapo ila wanauza kwa kujificha ficha kwenye vichochoro vya

maduka..Sasa Kimbembe kikaanza wale wanamgambo wakawafuata huko huko na kuanza kuwapiga na

kuwavunjia meza na viti vyao...Kwa kweli iliniuma sana kuona watanzania wenzetu wakifanyiwa hivyo

....Bado sijapata jibu ...siko zote mbona hawakufukuzwa ?? Huu Ugeni ndio imekuwa Nogwaaaaa....Na

uhakika kuna ambao wanalisha na kutunza familia kwa kazi hizi za umachinga sasa watakula wapi kama hali ndio hiyo????

HII NDIO PATASHIKA KATI YA MACHINGA NA MGAMBO ILIYOTOKEA HAPO JANA HUKO MWENGE...!! - GUMZO LA JIJI

xo painful..!!!
 
Umepose tatizo mbona hujapendekeza suruhu yake.

na wanaolipwa kwa kazi hiyo wafanye nini? halafu sio suruhu ni suluhu.

hii ni aibu sana, hata mimi nimeona jana jioni pale kituo cha puma mwenge, kina mama wanakimbi na meza zao karanga na watoto wao mgongoni saa tatu na nusu usiku, cha ajabu zaidi hii mijanamike mipumbavu ikishapewa kofia na khanga na kupigiwa muziki na malkia wa mipasho itachagua magamba.

maisha bora yetu ni kuuza njugu barabarani sasa tunamdanganya nani! ulimbukeni noma.
 
Kumbe inawezekana kufuata sheria inavyosema lakini kutokana na mazoea sehemu zisizositahili kuwepo na biashara zinaruhusiwa na mamlaka husika huchukua kodi ya eneo husika kweli hii ndo Tanzania Mgeni njoo wenyeji wapate kelo na karaha.
 
jaribu kuishirikisha akili yako,
kama ni kero kwann serikali haikufikiria swala hilo mapema?!
cha kushangaza wanaondolewa kwa nguvu kisa obama?!

hivi Obama atakapofurahia hali ya utulivu na usafi ndan ya mji then akawa curious akauliza watangulizi wake ambao wako toka mda mrefu hapa bongo kwamba TZ ni sehem safi na iliyotulia watamjibu vip? watamweleza shurba zinazowapata hawa wamachinga huku mtaani?

na wale watoto watakao lala njaa kisa wazazi wao wameharibiwa biashara zao na kuporwa vitu watafurahia ujio wa Obama?
 
Back
Top Bottom