Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

Kuna mmoja wa hawa wakurugenzi ameweka rekodi ya kipekee sana.
Alianza na Nyerere, mwaka 1983 akaendelea na Mwinyi mpaka mwisho wa utawala wa Mwinyi wa miaka 10, halafu akaingia tena hadi utawala wa Mkapa na akafariki mwaka 1996
Kwa nini aliuawa wakati wa Mkapa, ilhali alikuwa ameshafanya kazi na maRais wengine wawili nyuma?
 
Mbona hujasema kuhusu Dr. Hassy Kitine alivyofurushwa kutoka TISS.

Alivyotoka vitani uganda kumuondoa Idd Amini, alikuja na Pegout vijana wa TRA wakambana kodi mpakani akasema yeye ni Director General wa TISS hivyo hawezi kulipa kodi, habari zikamfikia Mzee Mchonga, akaomdolewa kesho yake tu!

Miaka mingi baadae Hassy Kitine mwenyewe alikiri kuwa alifanya kosa la kipuuzi sana!
Alirudi kutoka vitani akiwa amenunua gari; huko alipata wapi hela nyingi hiyo ya kununua gari?
 
Mbona hujasema kuhusu Dr. Hassy Kitine alivyofurushwa kutoka TISS.

Alivyotoka vitani uganda kumuondoa Idd Amini, alikuja na Pegout vijana wa TRA wakambana kodi mpakani akasema yeye ni Director General wa TISS hivyo hawezi kulipa kodi, habari zikamfikia Mzee Mchonga, akaomdolewa kesho yake tu!

Miaka mingi baadae Hassy Kitine mwenyewe alikiri kuwa alifanya kosa la kipuuzi sana!
Jamaa ana kimavi kweli,miaka mingi baadae alilazimishwa kujiuzulu uwaziri kwa kosa la mke wake kuforge gharama za matibabu alikokuwa anatibiwa ng'ambo
 
Back
Top Bottom