STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,207
ILIKUWA JIONI MOJA TULIVU,,
MWANAMKE Mmoja Alielekea Kisimani
Kuteka Maji,, Alipokuwa Huko Kisimani
Mara Akatokea MWANAUME Mmoja Na
Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dadangu Hivi Unaweza Kunitajia VISA
Vya MWANAMKE?".
Yule MWANAMKE
ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga
Makelele Kwa Sauti Sana, HaLi
ILiyofanya Wanakijiji Wengi Watoke
Mbio Wakiwa Na Mapanga Na Marungu Kuelekea Huko Kisimani!. Mara Yule
Mwanamke Akachukua Ndoo Ya Maji Na
Kujimwagia Mwili nzima, Wanakijiji
Walipofika Wakauliza Kwa HASIRA Kuna
Nini Hapa??.. Yule Mwanamke
Akajibu"Nilikua Nimetumbukia Kisimani Na Huyu Baba Ndio Ameniokoa".
Wanakijiji Wakampa Hongera Yule
Mwanaume kwa alichokifanya Kisha
Wakasambaa!. Yule Mwanamke
Akamgeukia Yule MWANAUME Na
Kumwambia "Hivyo Ndivyo VISA Vya Mwanamke, Ukimchukiza Anaweza
Kukuua Na Ukimpenda Anaweza Kukulinda''