Hii ndio njia rahisi ya kuwasoma wanawake

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,205
ILIKUWA JIONI MOJA TULIVU,,
MWANAMKE Mmoja Alielekea Kisimani
Kuteka Maji,, Alipokuwa Huko Kisimani
Mara Akatokea MWANAUME Mmoja Na
Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dadangu Hivi Unaweza Kunitajia VISA
Vya MWANAMKE?".
Yule MWANAMKE
ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga
Makelele Kwa Sauti Sana, HaLi
ILiyofanya Wanakijiji Wengi Watoke
Mbio Wakiwa Na Mapanga Na Marungu Kuelekea Huko Kisimani!. Mara Yule
Mwanamke Akachukua Ndoo Ya Maji Na
Kujimwagia Mwili nzima, Wanakijiji
Walipofika Wakauliza Kwa HASIRA Kuna
Nini Hapa??.. Yule Mwanamke
Akajibu"Nilikua Nimetumbukia Kisimani Na Huyu Baba Ndio Ameniokoa".
Wanakijiji Wakampa Hongera Yule
Mwanaume kwa alichokifanya Kisha
Wakasambaa!. Yule Mwanamke
Akamgeukia Yule MWANAUME Na
Kumwambia "Hivyo Ndivyo VISA Vya Mwanamke, Ukimchukiza Anaweza
Kukuua Na Ukimpenda Anaweza Kukulinda''
 
ILIKUWA JIONI MOJA TULIVU,,
MWANAMKE Mmoja Alielekea Kisimani
Kuteka Maji,, Alipokuwa Huko Kisimani
Mara Akatokea MWANAUME Mmoja Na
Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dadangu Hivi Unaweza Kunitajia VISA
Vya MWANAMKE?".
Yule MWANAMKE
ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga
Makelele Kwa Sauti Sana, HaLi
ILiyofanya Wanakijiji Wengi Watoke
Mbio Wakiwa Na Mapanga Na Marungu Kuelekea Huko Kisimani!. Mara Yule
Mwanamke Akachukua Ndoo Ya Maji Na
Kujimwagia Mwili nzima, Wanakijiji
Walipofika Wakauliza Kwa HASIRA Kuna
Nini Hapa??.. Yule Mwanamke
Akajibu"Nilikua Nimetumbukia Kisimani Na Huyu Baba Ndio Ameniokoa".
Wanakijiji Wakampa Hongera Yule
Mwanaume kwa alichokifanya Kisha
Wakasambaa!. Yule Mwanamke
Akamgeukia Yule MWANAUME Na
Kumwambia "Hivyo Ndivyo VISA Vya Mwanamke, Ukimchukiza Anaweza
Kukuua Na Ukimpenda Anaweza Kukulinda''
Ahsante Stun,

Labda wanawake wa vijijini !!!
 
Ilikua jioni moja tulivu,, mwanamke mmoja alielekea kisimani kuteka maji,, alipokuwa huko kisimani mara akatokea mwanaume mmoja na kumuuliza yule mwanamke"samahani dadangu hivi unaweza kunitajia visa vya mwanamke? yule mwanamke ghafla akaanza kulia huku anapiga makelele kwa sauti sana,

Hali iliyofanya wanakijiji wengi watoke mbio wakiwa na mapanga na marungu kuelekea huko kisimani!. mara yule mwanamke akachukua ndoo ya maji na kujimwagia mwili nzima, wanakijiji walipofika wakauliza kwa hasira kuna nini hapa??.. yule mwanamke akajibu"nilikua nimetumbukia kisimani na huyu baba ndio ameniokoa".

Wanakijiji wakampa hongera yule mwanaume kwa alichokifanya kisha wakasambaa!. yule mwanamke akamgeukia yule mwanaume na kumwambia"hivyo ndivyo visa vya mwanamke, ukimchukiza anaweza kukuua na ukimpenda anaweza kukulinda".
tuwapende wanawake zetu jamani kwa kifupi wameshikilia uhai na maisha yetu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom