Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Naizungumzia zaidi Moro ya kipindi cha nyuma kidogo ya miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni. Hii town ya wajanja, vijana wanaojua kuvaa, wenye exposure, wapenda burudani na utafutaji. Ni mji uliofikia kuitwa jiji kasoro bahari kutokana na upatikanaji wa kila kitu kinachotakiwa. Kulikuwa na shule kubwa mbili Forest Hill na Kigurunyembe ambapo Forest ilikuwa ya watoto wa kishua na Kigurunyembe ilikuwa ya watoto wa kihuni. Mitaa maarufu ilikuwa ya kishua ni Forest, Liti, Sua na Rock Garden. Mitaa maarufu ya ushenzini kulikuwa na Mji mpya, Kichangani, Mafiga.

Watu wa Moro ni wapenzi sana wa burudani haswa muziki na soka. Kulikuwa na timu ya mji maarufu Reli kiboko ya vigogo hii ilikuwa daraja la kwanza alikuwa akija Simba au Yanga atoki. Hiyo Reli naizugumzia ya kina Duncan Butinini, David Mihambo, Fikiri Magoso, Mohamed Mtono hapo kuna mshangiliaji maarufu sana wa kuitwa ya Mungu ambae ndio shabiki wa kwanza Mtanzania kujichora mwilini. Licha ya Reli mtaani kulikuwa na team nyingi sana za mchangani kama chama langu Jamaica, kulikuwa na Black Viba, Small boys, Zaragoza baadae ikawa Moro United, Uruguay, Burkina Fasso, Rhino nk mtaani ilikuwa ni hatari.

Kwenye muziki Moro ina historia ndefu kidogo siwezi kuzungumzia enzi za kina Mbaraka Mwishehe kwa kuwa sikuwepo mimi nilikuwepo enzi za shimoni Morogoro Hotel na Rock Garden na maonyesho ya Forest Hill. Hapa kuna mtu anaitwa DJ Sweet Coffee alikuwa pale mtaa wa Konga ndio alomfundisha Udijei John Dilinga enzi hizo akiitwa John Mkimbizi sababu baba yake alikuwa mkimbizi kambi ya Solomon Mahlangu. Disco lilikuwa linapigwa shimoni na mara nyingi alikuwa anakuja DJ Joseph Kusaga akimfundisha kazi DJ Peter Moe.

Watu wa Moro najua mpo wengi umu Jf naomba tukumbashane mawili matatu matukio, maujanja na mazuri ya Moro Town.

Moro Town ulikuwa pia mji wa kibabe. Kulikuwa na watemi wa mji kina Slim mtoto wa sheikh mkuu, Matata, Gamba mcheza judo, vijana wa siafu toka mji mpya nk

Unaikumbuka Miss Morogoro? Unamkumbuka Alex Nictas?

Unawakumbuka mabingwa wa kudansi kitaifa? Kina Askofu, Bob Tigger, Super Ngedere nk

Unakumbuka mashindano ya magari? Unawakumbuka wakimbiza magari maarufu kina Collen, Steve, Pat, Kararambe, Shanto, De Santos nk

Unakumbuka Wagiriki na bata zao kwa Mama Perina na Acropol? Unakumbuka masista duu na mabraza meni wa mitaa ya Forest?

Unakumbuka enzi za Mnet inaingia mjini? Moro mji wote ulikuwa na access ya kuona dstv bure.

Unakumbuka heka heka za ligi za mbuzi uwanja wa shujaa, makaburini kilakara na kikundi?

Unakumbuka Fete Fete? Unakumbuka Shan cinema? Unakumbuka swimming pool ya rock garden?

Unamkumbuka Mzee Mkwidu na Patel wakuu wa shule maarufu KG & Forest?

Unamkumbuka Maneno Big G rip? Unamkumbuka Mnambo wauza ngada maarufu?

Unamkumbuka Ndanje, jambazi aliyetikisa mji? Unakumbuka ishu yake ya silaha na February Ma rope?

Unamkumbuka toz wa kipindi hicho Puzzo na kundi lake la kurap Watukutu akiwa na Sallam meneja wa Diamond sasa hivi? Unawakumbuka Gangster Family? Unawakumbuka Ze Domp?

Unamkumbuka Achimpota? Unaikumbuka bus la Chambo?

Unakumbuka ule upepo uliokuja wa watu kuzamia Sauz na ulaya?

Umeishi mtaa gani Mafisa, Msufini, Kilakara, Ngoto, Kingo, Mlapakoro, Boma road, Sua, Vibandani, Relwe magorofani, Kigurunyembe, Madizini? Au wapi Umeishi?

Kuna watu maarufu wengi sana DSM ambao maujanja yao wamejifunzia Moro Town. Hakika Morogoro ni jiji kasoro bahari.

WATOTO WA MOROGORO MIKONO JUU.
 
Puzo na lunch program, umesahau Namit Duka LA kadi, umemsahau Mananga Mzee wa Moro sec, umesahau bifu la watoto wa Moro na Dar.

Unamkumbuka mtt wa Mahita alivyotuendesha ukimsema tuu king'ora cha polisi hiki hapa, unatishiwa nyau duuhh enzi zile.
Disko shimoni je?
Hostel za jamhuri?
Lamiriam hostel?

Sarawati, madizini, hostel za moro sec, kwa mwandu, acha kabisa those dayz balaaa.
 
MORO STAND UP

mimi nimtoto wa moro kindaki ndaki mpka sasa wazazi wangu wapo huko ..hao kina Collen nimeshawahi kuzishuhudia fujo zao ijapokuwa nilikuwa Mdogo ..mbio za magari zilikuwa zinaanzia ktk kiwanda cha pale TOBACO nakwakuwa kwetu nikaribu mnoo na Kile kiwanda basi ilikuwa mashindano yakianza tu sisi tumeshajipanga kushuhudia huo mtanange .. nyumba yetu ilikuwa inaitazma nyumba ya Marehemu mzee mshendwa tajiri wa kihaya aliyekuwa MWANACHAMA WA NCCR mageuzi ya wakati huo basi nilikuwa napata fursa yakumuona Mara kwa Mara mrema akiwa anafika nyumba kwa yule MZEE

huyo jambazi maarufu NDANJE ALIYEKUWA ANATIKISA KWA WAKATI HUO MAMA YAKE AMENISOMESHA SHULE YA MSINGI NASIKU AMBAYO NDANJE ALIKUWA AMEUWAWA TEACHER ALIKUWA CLASS AKITUPIGA PINDI AKAFUATWA NA GOLF YA POLICE ILI KWENDA KUUONA MWILI WA MWANAE

MTOA MADA UMEELEZEA MAMBO MENGI MNOO KUHUSU MORO LAKINI UMESAHAU KUHUSU KILE KISA CHA JAMBAZI ALIYEACHA HISTORIA KUBWA KATKA MJI WETU HUO PENDWA ..ALIKUWA AKIFAHAMIKA KAMA KITENGA KUNATUKIO ALILIFNYA LIKAWAACHA MIDOMO WAZI WATU PALE DARAJANI SHANI CINEMA..JAMAA ALIRUKA SARAKASI NAKUJIRUSHA MTONI alifanya hivyo kwaajili yakukwepa risasi za police waliokuwa wanamkimbiza na zile risasi baada ya kumkosa zikaishia kupiga kwenye nguzo za daraja.

alikuwa anafnya uhalifu wakuogopeka kama kuiba bank kuteka magari ..kuvamia maduka ya wahindi ..Jamaa alipelekea mpaka serikali ya mkoa kutangaza kuwa hupaswi kupaki range rover za wakati huo bank maana ilikuwa akivamia kisha akaikuta hiyo Gari akiichukua nakuanza kukimbia nayo police watamkimbiza mpka wataomba poohh lakini na Jamaa ataishia zake kusiko julikana huko.

Jamaa alitoroka kwao akiwa darasa la sits na hakuwahi kurudi tena mama yke alikuja kumuona tena baada ya miaka kadhaa kupita tena akiwa maiti ..jamaa aliwasumbua mnoo police na alikuja kuuliwa na wamasai ..inasadikika alikuwa anatumia NDUMBA

Kuna mambo mengi mazuri ya kuihusu moro kama kwenda bahati camp kutalii ..kwenda bondwa ktk kilele cha mlima uluguru kutalii pia ukiwa kule waiona mandhari yote ya mji
CHUO CHA MZUMBE .SUA ..
SHULE YA VIPAJI MAALUMU YA WANAWAKE KILAKALA GIRS
kiwanda cha nguo cha azizi abood
na viwanda vingine vingi tu ambavyo sasa vimekufa
Morogoro ilikuwa sehemu ya fursa haswaa kwa vijana ..nilikuwa nawaona watu wengi wakifnya kazi TObaco na demon achilia mbali kuhusu kilimo daahh napendezewa na uwepo wa bwawa la Mindu.

Hahaaa matukio yote hayo ya ujambazi wakati yanatokea mimi nilikuwa Mdogo mnoooo kama hilo la ndanje nakumbuka nilikuwa darasa la pili.
 
MORO STAND UP

mimi nimtoto wa moro kindaki ndaki mpka sasa wazazi wangu wapo huko ..hao kina Collen nimeshawahi kuzishuhudia fujo zao ijapokuwa nilikuwa Mdogo ..mbio za magari zilikuwa zinaanzia ktk kiwanda cha pale TOBACO nakwakuwa kwetu nikaribu mnoo na Kile kiwanda basi ilikuwa mashindano yakianza tu sisi tumeshajipanga kushuhudia huo mtanange .. nyumba yetu ilikuwa inaitazma nyumba ya Marehemu mzee mshendwa tajiri wa kihaya aliyekuwa MWANACHAMA WA NCCR mageuzi ya wakati huo basi nilikuwa napata fursa yakumuona Mara kwa Mara mrema akiwa anafika nyumba kwa yule MZEE

huyo jambazi maarufu NDANJE ALIYEKUWA ANATIKISA KWA WAKATI HUO MAMA YAKE AMENISOMESHA SHULE YA MSINGI NASIKU AMBAYO NDANJE ALIKUWA AMEUWAWA TEACHER ALIKUWA CLASS AKITUPIGA PINDI AKAFUATWA NA GOLF YA POLICE ILI KWENDA KUUONA MWILI WA MWANAE

MTOA MADA UMEELEZEA MAMBO MENGI MNOO KUHUSU MORO LAKINI UMESAHAU KUHUSU KILE KISA CHA JAMBAZI ALIYEACHA HISTORIA KUBWA KATKA MJI WETU HUO PENDWA ..ALIKUWA AKIFAHAMIKA KAMA KITENGA KUNATUKIO ALILIFNYA LIKAWAACHA MIDOMO WAZI WATU PALE DARAJANI SHANI CINEMA..JAMAA ALIRUKA SARAKASI NAKUJIRUSHA MTONI alifanya hivyo kwaajili yakukwepa risasi za police waliokuwa wanamkimbiza na zile risasi baada ya kumkosa zikaishia kupiga kwenye nguzo za daraja

kuna mambo mengi mazuri yakuihusu moro kama kwenda bahati camp kutalii ..kwenda bondwa ktk kilele cha mlima uluguru kutalii pia ukiwa kule waiona mandhari yote ya mji ..

hahaaa matukio yote hayo ya ujambazi wakati yanatokea mimi nilikuwa Mdogo mnoooo kama hilo la ndanje nakumbuka nilikuwa darasa la pili ..
Kweli kabisa mkuu we ni Moro Product.
 
Puzo na lunch program, umesautu Namit Duka LA kadi, umemsahau Mananga Mzee wa Moro sec, umesahau bifu la watoto wa Moro na Dar.
Unamkumbuka mtt wa Mahita alivyotuendesha ukimsema tuu king'ora cha polisi hiki hapa, unatishiwa nyau duuhh enzi zile.
Disko shimoni je?
Hostel za jamhuri?
Lamiriam hostel?
Sarawati,madizini, hostel za moro sec, kwa mwandu, acha kabisa those dayz balaaa.
Morogoro ya enzi hizo si mchezo sasa hivi imepoa sana .
 
Nimefurahi stori zenu aisee, leteni vitu
Hahaaa asante mkuu Moro ilikuwa moro haswaa enzi hizo disco linachezwa mango garden na kaumba night park
wajanja wamjini ilikuwa huwa kosi hapo. Hahaa disco linachezwa ukiwa namtoto mzuri watoto wamji mpya na mafisa wanakuja wanakupora.

Ukileta ujuaji wachezea kichapo huku mabaunsa wanakutazama tu watafnya nni sasa wakati watoto wamji mpya wanakuja disco namapanga pia wapo mobb wenyewe walikuwa wanajiita mbwa mwitu achana nahawa mbwa mwitu wajuzi watoto wa mbagala..hao mbwa mwitu mbwa mwitu kweli utachezea kichapo ukijifnya kujittumua wapigwa spoku ya tumbo daaahhh
Sikh zinakimbia mnooo aiseee.
 
Nilijua unakuja na updates mpya ya viwanja vyetu vile. Hako kamji nikiwaga nastress nakujaga kuziondolea huko hasa pale wanaita samakisamaki au nyumbani park..hatari sana
Hahaaa pale ninoma. Papuchi zakumwaga tu mkuu wewe na Pesa yko tu.
 
hearly inabidi uwe unatuamkia sisi wakubwa zako sawa eenhh Ndanje akikamwatwa stand ya daladala pale zamani ilikuwa ndiyo stand asbuh kwenye basi LA Sadiq akienda Dar.
 
hearly inabidi uwe unatuamkia sisi wakubwa zako sawa eenhh Ndanje akikamwatwa stand ya daladala pale zamani ilikuwa ndiyo stand asbuh kwenye basi LA Sadiq akienda Dar.
hahaaa shikamoo
nakumbuka hiyo ilikuwa nistand kuu ya mabus kwa wakati huo kabla ya kuhamishiwa msamvu...pale kwenye barabara ya boma road mkabala na round'about
 
hahaaa shikamoo
nakumbuka hiyo ilikuwa nistand kuu ya mabus kwa wakati huo kabla ya kuhamishiwa msamvu...pale kwenye barabara ya boma road mkabala na round'about

Marahaba mwanangu, mama yake yule jamaa alikuwa anafundisha 7/7 au K'ndege ndiyo shule ulizosoma wewe.
 
Mji huu umejaa wahindi naa waarabu ndo maana hauendelei! watu wanapiga hela kwenye barabara za mjini zinajengwa kila siku hazidumu, kila kona ni ma ccm tu yamejaa. Uchafu umezagaa labda siku hizi kidogo, barabara nyingi zimejaa mashimo kila mwaka mto kikundi unapumua maji yake mtaani hakuna suluhisho.
Japokuwa mji ukipangwa na kujengwa vizuri unaweza kuwa kama New York kutokana na mandhari yake lakini kutokana na wenyeji wake wa kikuguru na ushamba wao wakiuita ujanja huu mji hauwezi kuendelea. Tujifunze hata kamji ka Iringa kalivyo pazuri.
Serikali ipanue mji wa Morogoro kwa kuwanyang'anya SUA na Mzinga na Mzumbe ili watu wajenge majumba tena wapime viwanja vipya wakiwanyang'anya au kuwapunguzia taasisi hizo maeneo.
 
MORO STAND UP

mimi nimtoto wa moro kindaki ndaki mpka sasa wazazi wangu wapo huko ..hao kina Collen nimeshawahi kuzishuhudia fujo zao ijapokuwa nilikuwa Mdogo ..mbio za magari zilikuwa zinaanzia ktk kiwanda cha pale TOBACO nakwakuwa kwetu nikaribu mnoo na Kile kiwanda basi ilikuwa mashindano yakianza tu sisi tumeshajipanga kushuhudia huo mtanange .. nyumba yetu ilikuwa inaitazma nyumba ya Marehemu mzee mshendwa tajiri wa kihaya aliyekuwa MWANACHAMA WA NCCR mageuzi ya wakati huo basi nilikuwa napata fursa yakumuona Mara kwa Mara mrema akiwa anafika nyumba kwa yule MZEE

huyo jambazi maarufu NDANJE ALIYEKUWA ANATIKISA KWA WAKATI HUO MAMA YAKE AMENISOMESHA SHULE YA MSINGI NASIKU AMBAYO NDANJE ALIKUWA AMEUWAWA TEACHER ALIKUWA CLASS AKITUPIGA PINDI AKAFUATWA NA GOLF YA POLICE ILI KWENDA KUUONA MWILI WA MWANAE

MTOA MADA UMEELEZEA MAMBO MENGI MNOO KUHUSU MORO LAKINI UMESAHAU KUHUSU KILE KISA CHA JAMBAZI ALIYEACHA HISTORIA KUBWA KATKA MJI WETU HUO PENDWA ..ALIKUWA AKIFAHAMIKA KAMA KITENGA KUNATUKIO ALILIFNYA LIKAWAACHA MIDOMO WAZI WATU PALE DARAJANI SHANI CINEMA..JAMAA ALIRUKA SARAKASI NAKUJIRUSHA MTONI alifanya hivyo kwaajili yakukwepa risasi za police waliokuwa wanamkimbiza na zile risasi baada ya kumkosa zikaishia kupiga kwenye nguzo za daraja

alikuwa anafnya uhalifu wakuogopeka kama kuiba bank kuteka magari ..kuvamia maduka ya wahindi ..Jamaa alipelekea mpaka serikali ya mkoa kutangaza kuwa hupaswi kupaki range rover za wakati huo bank maana ilikuwa akivamia kisha akaikuta hiyo Gari akiichukua nakuanza kukimbia nayo police watamkimbiza mpka wataomba poohh lakini na Jamaa ataishia zake kusiko julikana huko
Jamaa alitoroka kwao akiwa darasa la sits na hakuwahi kurudi tena mama yke alikuja kumuona tena baada ya miaka kadhaa kupita tena akiwa maiti ..jamaa aliwasumbua mnoo police na alikuja kuuliwa na wamasai ..inasadikika alikuwa anatumia NDUMBA

kuna mambo mengi mazuri ya kuihusu moro kama kwenda bahati camp kutalii ..kwenda bondwa ktk kilele cha mlima uluguru kutalii pia ukiwa kule waiona mandhari yote ya mji ..
CHUO CHA MZUMBE .SUA ..
SHULE YA VIPAJI MAALUMU YA WANAWAKE KILAKALA GIRS
kiwanda cha nguo cha azizi abood
na viwanda vingine vingi tu ambavyo sasa vimekufa
morogoro ilikuwa sehemu ya fursa haswaa kwa vijana ..nilikuwa nawaona watu wengi wakifnya kazi TObaco na demon ..achilia mbali kuhusu kilimo daahh napendezewa na uwepo wa bwawa LA mindu.

hahaaa matukio yote hayo ya ujambazi wakati yanatokea mimi nilikuwa Mdogo mnoooo kama hilo la ndanje nakumbuka nilikuwa darasa la pili ..
KITENGA alikuwa sio wa mchezo, nasikia alikamatwa na wamasai baada ya kuiba ng'ombe Melela. Walipiga sana mapanga lakini hakufa, hadi walipotoa hirizi mwilini mwake, pia nasikia polisi walimburuza gari.
 
Back
Top Bottom