Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,559
Labda kuna chem chem madhubuti chini yake.wajuzi wanajuwa zaidHivi chanzo cha maji ya ziwa huwa ni nini? kwanini hayaishi?mfano ziwa vicktoria linatoa maji mengi lakin hayaishi.
Labda kuna chem chem madhubuti chini yake.wajuzi wanajuwa zaidHivi chanzo cha maji ya ziwa huwa ni nini? kwanini hayaishi?mfano ziwa vicktoria linatoa maji mengi lakin hayaishi.
Ziwa hili linapata maji yake mengi kutokana na mvua (80%) na kutoka vijito vingi vidogo. Mto mkubwa unaoingia Viktoria ni Mto Kageraunaotiririka kutoka magharibi.Hivi chanzo cha maji ya ziwa huwa ni nini? kwanini hayaishi?mfano ziwa vicktoria linatoa maji mengi lakin hayaishi.
thanksZiwa hili linapata maji yake mengi kutokana na mvua (80%) na kutoka vijito vingi vidogo. Mto mkubwa unaoingia Viktoria ni Mto Kageraunaotiririka kutoka magharibi.
Na maji ya ziwa Viktoria yanamiminika kwenye mto Nile na kuelekea bahari ya Mediteraneakwa umbali wa maili 4,000.
Ziwa Viktoria ni miongoni mwa maziwa yenye visiwa vingi vidogovidogo.
Ziwa hili lina kina cha wastani cha mita 40 na mwambao wa urefu wa kilomita 4,828, visiwa vyake vikiwa vimechangia 3.7% ya urefu huu.
Eneo la maji ya ziwa limegawanywa 6% (4,100 km2) nchini Kenya, 45% (31,000 km2) nchini Uganda, na 49% (33,700 km2) nchini Tanzania
Jinja, Uganda kwenye kingo ya mashariki ya Mto Nile, hapo ndipo sehemu ambapo mto unaanza kutiririka kutoka Ziwa Viktoria (chanzo cha Nile) kuelekea kwenye Bahari ya Mediterranean. Inachukuwa miezi mitatu kwa maji kumaliza safari ya maili 4,000 (kilomita 6,400).Umesaha mto nail misri
Mkuu, jibu ni kwamba... pamoja na mito mingi kumwaga maji yake baharini, lakini kamwe bahari haziwezi zikajaa kutokana na mabadiliko yanasabishwa na nguvu ya gravitiya mwezi na jua inayovuta dunia yetu. Sehemu ya dunia iliyo tazama mwezi ni karibu zaidi kwake na inaathiriwa zaidi na nguvu ya graviti. Maji ya bahari ni gimba moja kubwa la kiowevu na hivyo sehemu yake iliyoathiriwa zaidi inavutwa kuelekea mwezini. Ilhali mwezi unazunguka dunia katika muda wa takriban siku moja (halihalisi kidogo zaidi ya siku moja ya hesabu yetu) kuna kilele cha maji yanayovutwa kuelekea mwezini. Mzunguko wa mwezi ni masaa 24 na dakika 50 kwa hiyo saa ya maji kupaa na kupwa hubadilika hizi dakika 50 kila siku.Ningeuliza ni mto upi ili niambiwe chanzo chake . Ni elimu tu ya msingi kujua vianzio vya hiyo mito mikubwa duniani . Swali langu la msingi ! Bahari itajaa lini ?? Mito yote hiyo inamwaga baharini .