Hii ndio mito mikubwa na hatari duniani

Umeusahau mto milongo mwanza mkuu, huwa ni hatari sana, kuna wakati ulisomba mifungo, ng'ombe hadi nguruwe.
 
Duuh hiyo mito ni cha mtoto...ukilinganisha na Mto Ruvu au Binamu yake Wami..

huku vinaokotwa viroba vyenye wasiojulikana na kamwe hawajulikani ni mamba,au kiboko japo sura ni wale binadamu wa kwanza
 
1. Mto AMAZON
View attachment 817371
Mto huu unapatikana Amerika ya Kusini, ni mkubwa kuliko mito yote duniani na hatari sanaa kwasababu ya urefu wake na upana wake.
Kwakuwa mto huo ni mkubwa kuliko mito yote duniani ulipewa jina jingine ambalo ni "River Sea" likiwa na maana ya "Mto bahari". Mto huu una kina zaidi ya futi 50 na ni mkubwa kiasi cha kutokuwa na uwezo wa kupatikana sehemu za kuungia daraja kutoka upande mmoja kwenda mwingine.

2. Mto CONGO
View attachment 817373
Mto huu uliofahamika kwa jina la Zaire miaka ya nyuma unapatikana Afrika ya Kati nchini Congo, una urefu wa maili 2992.
Mto huu ni hatari sana kwasababu ya kasi ya maji yake ambayo huanza taratibu na kuongeza kadri maji yanavyozidi kutiririka.
Ukizidi kutiririka huchukua kasi kubwa sana kiasi cha kuufanya mto huo kuwa na nguvu sana kabla haujaingia Geti la Kuzimu "Gates of Hell" amabalo ni korongo lenye urefu wa maili 75, lenye kumwaga maji kwa haraka sana. Kwasababu hii mto huo umekuwa na sifa ya kuwa mto wa kwanza wenye nguvu Afrika.

3. Mto ORINOCO
View attachment 817378
Mto huu unapatikana Amerika ya kusini ukiwa na sifa ya kuwa mto wa tatu kwa urefu wa maili 1330 barani humo.
Mto huu unaotiririka kupitia Colombia na Venezuela una hatari kubwa kwasababu kusini magharibi ya mto huo kumefunikwa na pori kubwa ambalo huufanya sehemu kubwa ya mto huo kutokuonekana.

4. Mto NYANGTZE
View attachment 817382
Huu ni mto unaopatikana China, ulio na sifa ya kuwa mto mrefu barani Asia na nchi ya China. Mto huo una urefu wa maili 3964 na unamwaga maji yake katika bahari ya Mashariki ya China (East China).
Mto huo una hatari sana sababu ya kuwa na kasi kubwa ya maji na gogi katika mtiririko wake. Mawimbi ya mto huo yana nguvu sana sababu inayopelekea mara nyingi kutokea mafuriko katika mto huo.

5. Mto BRAHMAPUTRA
View attachment 817387
Mto huu wenye chanzo chake Tibet ya kusini magharibi, una urefu wa takribani maili 1800 ukitiririka kupitia Tibet, China, India na Bangladesh.
Hatari ya mto huu ni mafuriko makubwa ambayo hutokea pale barafu ya milima Himalaya inapoyeyuka na pia kwasababu ya nguvu ya mawimbi yake.
The Nile is a major north-flowing river in northeastern Africa, and is commonly regarded as the longest river in the world, though some sources cite the Amazon River as the longest. Huwezi kuitaja mito hatari ukaiacha Nile, Mississippi,
 
1. Mto AMAZON
View attachment 817371
Mto huu unapatikana Amerika ya Kusini, ni mkubwa kuliko mito yote duniani na hatari sanaa kwasababu ya urefu wake na upana wake.
Kwakuwa mto huo ni mkubwa kuliko mito yote duniani ulipewa jina jingine ambalo ni "River Sea" likiwa na maana ya "Mto bahari". Mto huu una kina zaidi ya futi 50 na ni mkubwa kiasi cha kutokuwa na uwezo wa kupatikana sehemu za kuungia daraja kutoka upande mmoja kwenda mwingine.

2. Mto CONGO
View attachment 817373
Mto huu uliofahamika kwa jina la Zaire miaka ya nyuma unapatikana Afrika ya Kati nchini Congo, una urefu wa maili 2992.
Mto huu ni hatari sana kwasababu ya kasi ya maji yake ambayo huanza taratibu na kuongeza kadri maji yanavyozidi kutiririka.
Ukizidi kutiririka huchukua kasi kubwa sana kiasi cha kuufanya mto huo kuwa na nguvu sana kabla haujaingia Geti la Kuzimu "Gates of Hell" amabalo ni korongo lenye urefu wa maili 75, lenye kumwaga maji kwa haraka sana. Kwasababu hii mto huo umekuwa na sifa ya kuwa mto wa kwanza wenye nguvu Afrika.

3. Mto ORINOCO
View attachment 817378
Mto huu unapatikana Amerika ya kusini ukiwa na sifa ya kuwa mto wa tatu kwa urefu wa maili 1330 barani humo.
Mto huu unaotiririka kupitia Colombia na Venezuela una hatari kubwa kwasababu kusini magharibi ya mto huo kumefunikwa na pori kubwa ambalo huufanya sehemu kubwa ya mto huo kutokuonekana.

4. Mto NYANGTZE
View attachment 817382
Huu ni mto unaopatikana China, ulio na sifa ya kuwa mto mrefu barani Asia na nchi ya China. Mto huo una urefu wa maili 3964 na unamwaga maji yake katika bahari ya Mashariki ya China (East China).
Mto huo una hatari sana sababu ya kuwa na kasi kubwa ya maji na gogi katika mtiririko wake. Mawimbi ya mto huo yana nguvu sana sababu inayopelekea mara nyingi kutokea mafuriko katika mto huo.

5. Mto BRAHMAPUTRA
View attachment 817387
Mto huu wenye chanzo chake Tibet ya kusini magharibi, una urefu wa takribani maili 1800 ukitiririka kupitia Tibet, China, India na Bangladesh.
Hatari ya mto huu ni mafuriko makubwa ambayo hutokea pale barafu ya milima Himalaya inapoyeyuka na pia kwasababu ya nguvu ya mawimbi yake.
Sawa
 
Naomba kuuliza. Ukubwa wa mto ni urefu wake, wastani wa kina chake au upana wake au ni nin?
 
Mississippi unaufahamu vizuri
Mto Mississippi ndio mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu zaidi duniani kote.
Chanzo chake kipo kaskazini mwa Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.
Urefu3780 km, Kimo cha chanzo450 m, Mkondo18,000 m³/s, Eneo la beseni3,238,000 km².
Mississippi_River_-_New_Orleans.jpg
 
MTO Nile??
Mto wa Nile ni mto mkubwa upande wa mashariki ya bara la Afrika. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni mto mrefu kabisa duniani kushinda mto Amazonas. Kutoka Ziwa la Viktoria mto huo umekwenda hadi mdomo wake kwenye ukajiunga na Bahari ya Mediteranea. Nile inavuka nchi za Uganda, Sudan Kusini, Sudan na Misri. Pia mto Nile unakadiriwa kuwa na urefu wa km 6,650.

Beseni ya Nile hukusanya maji ya eneo linalojumlisha 10% za eneo la Afrika yote au km² 3,349,000. Takriban watu milioni 250 hukalia beseni hiyo.

176px-Nile_composite_NASA.jpg
 
Back
Top Bottom