Hii ndio mikosi ya safari ya mwanza leo

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,167
Leo nilikuwa na safari ya kuja mwanza lkn safari imejaa vikwazo na majanga ya hapa na pale.toka tunatoka ubungo ilianza mikosi kwa kufaurishwa kwenye basi la KAMBA'S

kama kawaida ya folen dar nachokilikuwa kikwazo kingine.
Tulianza safari kufika mbez gar ikasumbua ikarekebishwa safari ikaendelea.

Kabla hatuja maliza morogoro dereva akapokea kichapo kikali toka kwa wanajeshi baada ya kuwachomekea.

Safari ikaendelea maeneo ya manyoni tukakutana na majanga mengine barabara ilizibwa na wanakijiji baada ya kupanga mawe na magogo barabaran kwa madai ya kuwa mwenzao kagongwa na gari na kufariki.
Sasa tumelala shinyanga ni baada ya kusikia ya kuwa gari zilizo tangulia zimetekwa picha za matukio ninazo nitaziweka soon
 
Duh! Pole mkuu, safari za siku hiz ni kujikabidhi kabisa kwa Mungu.
 
Bado tupo hapa shinyanga na tumepata habari ya kuwa basi la best line ndio limetekwa na hao majambazi
 
Pole mkuu LEGE jambo kubwa ni kufika salama,safari njema
 
Last edited by a moderator:
Bado tupo hapa shinyanga na tumepata habari ya kuwa basi la best line ndio limetekwa na hao majambazi

Pole sana mkuu,sisi tupo manyara tunaelekea Morogoro,tuombeane kheri tufike salama
 
Leo nilikuwa na safari ya kuja mwanza lkn safari imejaa vikwazo na majanga ya hapa na pale.toka tunatoka ubungo ilianza mikosi kwa kufaurishwa kwenye basi la KAMBA'S

kama kawaida ya folen dar nachokilikuwa kikwazo kingine.
Tulianza safari kufika mbez gar ikasumbua ikarekebishwa safari ikaendelea.

Kabla hatuja maliza morogoro dereva akapokea kichapo kikali toka kwa wanajeshi baada ya kuwachomekea.

Safari ikaendelea maeneo ya manyoni tukakutana na majanga mengine barabara ilizibwa na wanakijiji baada ya kupanga mawe na magogo barabaran kwa madai ya kuwa mwenzao kagongwa na gari na kufariki.
Sasa tumelala shinyanga ni baada ya kusikia ya kuwa gari zilizo tangulia zimetekwa picha za matukio ninazo nitaziweka soon
kama ulikuwa umefuata demu bora urudi tu na kama ulitoroka kazini urudi haraka sawa mkuu pole sana mkuu..
 
pole sana mkuu!hapo lazima kuna mtu ana gundu tu,pengine kachukua mke wa mtu anaendanaye kula bata huko mwanza.
 
Leo nilikuwa na safari ya kuja mwanza lkn safari imejaa vikwazo na majanga ya hapa na pale.toka tunatoka ubungo ilianza mikosi kwa kufaurishwa kwenye basi la KAMBA'S

kama kawaida ya folen dar nachokilikuwa kikwazo kingine.
Tulianza safari kufika mbez gar ikasumbua ikarekebishwa safari ikaendelea.

Kabla hatuja maliza morogoro dereva akapokea kichapo kikali toka kwa wanajeshi baada ya kuwachomekea.

Safari ikaendelea maeneo ya manyoni tukakutana na majanga mengine barabara ilizibwa na wanakijiji baada ya kupanga mawe na magogo barabaran kwa madai ya kuwa mwenzao kagongwa na gari na kufariki.
Sasa tumelala shinyanga ni baada ya kusikia ya kuwa gari zilizo tangulia zimetekwa picha za matukio ninazo nitaziweka soon
Poleni sana mkuu.
 
Back
Top Bottom