Hii ndio maana ya umasikini- Dr. Ansila Ulotu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,227
_20190325_192210.JPG
 
Maisha bora ni nini?
Ndio kitu pekee ambacho CCM imeshindwa kutupatia.
Tuna dhahabu lakini hatuna madawa hospitalini.
Tuna gesi asilia lakini vitalu vyote ni vya wawekezaji
Tuna ng'ombe lakini hatuvai viatu vya ngozi tunavaa viatu feki vya kichina.
Tuna pamba lakini tunavaa nylon na polyester kutoka China.
Tanzania ni ya NNE katika Nchi ambazo hazina furaha kabisa duniani.
Hatuna maisha bora
 
Hospitali ipi isiyo na dawa?
Tumewezaje kununua kama hatuna hela hizo nylon na polyster?
 
Kweli wewe ni jingalao ndio maana hujui hata unachokiandika.
Hii ni Mara nyingine nakufundisha kitu kipya.
Nguo ya pamba INA thamani kubwa sana kuliko Nguo ya polyester na nylon.
Ni mazuzu wasio na Furaha ndio wanafanya exchange ya pamba kwa polyester na nylon.
 
Wanafunzi wetu wa shule ya Msingi wote wanavaa pamba
 
Wasomi makini hawateuliwi, wasome ambao wamesoma na hawajaelimika ndio wanaoteuliwa.
Sheria ya vyama vya siasa ni aibu kubwa sana kwa Palamagamba, aibu ya karne
Inawa favor ccm ,paramagamba anakodoa tu kasha win tayar ,
 
Back
Top Bottom