Hii ndio katuni bora ya mwaka toka DW kuhusu kinachoendelea nchini

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
IMG-20170117-WA0006.jpg
 
Kwa sasa all developmen projects ziko underfunded, hakuna maabara wala zahanati inayojengwa tofauti na awamu ya nne! kasi ya miradi ya barabara haipo tena! hakuna cha ajira, mikopo wala kupandisha wafanyakazi madaraja na kulipa malimbikizo! nguvu zote zimepelekwa kupambana na media, demokrasia na wapinzani!
 
Maana na tafsiri yake iko wazi kwamba aliyeshika mundu na nyundo
(kiongozi sijui wa taifa gani?) anawasurubu na kufyeka waandishi,asasi za kiraia,upinzani,katiba,uhuru wa kutoa maoni infact kavuruga mpaka anachoamini-hapa kazi tu.
Tafadhali usiniulize nani.
 
Back
Top Bottom