Hii ndio kati ya mbinu watumiayo baadhi ya Wanawake

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Baadhi ya wanawake wasiokuwa waaminifu hutumia ili kujihami pindi linapotokea la kutokea.

Mbinu wanayotumia ni kufanya screenshoot baadhi ya conversation pindi anapotongozwa na baadhi ya wanaume na kumtumia mpenzi wake ili amuone ni kwa jinsi gani yeye ni muaminifu.

Ukikubali mtego huu basi utajuta maana siku ukifuma sms kwenye simu yake atakwambia baby huyu ndie yule niliyekwambia kipindi kile!

NB: Tuishi nao kwa akili
 
Yeye kakuonyesha za mtu, Yeye ataonyesha zako kwa mtu.
Wewe Utamuonyesha za mtu, Na mtu ataonyesha zako.
Maisha mzunguko mkuu♻️ Fanya kitu moyo unataka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom