Hii ndio jengo mojawapo katika tunayoita jiji la Tanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio jengo mojawapo katika tunayoita jiji la Tanga.

Discussion in 'Jamii Photos' started by KUNANI PALE TGA, Feb 8, 2011.

 1. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba mtoe comments hapo
   
 2. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  One of Colonial condemned buildings. A fine example of negligence.:embarrassed:

  Tanga.jpg
   
 3. olele

  olele JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  tatizo la tz kila kinafanywa kisihasa hata kuteua mkoa kuwa jiji ni si-hasa
   
 4. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hadhi ya "Jiji" inateuliwa kufuatana na wingi wa wakazi, sio aina ya majengo...
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  [​IMG]
  hilo sio ghorofa la wakoloni?
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  unamaanisha SIASA au si hasa
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Tanga became a municipal before Dar es Salaam....Nyerere decided to halt its development so that other towns should catch up with Tanga...I don't see anything wrong with it now being a City
   
 8. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  ...za namna hiyo zipo kibao sana hasa kwenye zile barabara maarufu, kacheki pale br ya 16 na kuendelea. Nyumba za miti zipo kibao!
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mmi ningeona hadhi ya jiji ipewe kulingana na maendeleo ya mji husika,si idadi ya watu tu
   
 10. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwanini jengo bovu kama hili linaachwa ,lisivunje na kupewa mfano shirika na nhc au nssf kumwaga ka gorofa hapo watu wapate sehemu ya kuishi?kwa sasa tanga linakabiliwa na upungufu wa nyumba za kupanga,na wenyeji hawan hela za kujenga za kwao.na hili jengo pia ni hatari kwa usalama wa watu na pia ni hideout ya wahuni na wavuta bangi.mbona tuna waste ardhi namna hivyo kwenye prime area?yaani hakuna wakujali,jengo linatia aibu katikati ya jiji.hapo ukijenga ghorofa na kukodisha kwa wapangaj kwa bei nafuu,utakosa wapangaji?jamani wanatanga tuamke na kufanya jiji letu lipendeze na kuwa na manufaa kwa wakazi wa tanga.
   
 11. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Jengo zuri sana na halitakiwai kuvunjwa, kinachotakiwa ni kulikarabati na kulinda uasilia wake. Hili jengo na mengine kama hayo yanaweza kuleta fedha nyingi kupitia biashara ya utalii....
   
 12. k

  kimondo Senior Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika jengo hilo, chini zilikuwepo Idara za Elimu Mkoa, na juu Idara ya Uhamiaji mkoa. Kwa taarifa yako enzi hizo Mabus ya ghorofa maarufu kama 'double decker' yalikuwa yapo Tanga tu na Dar tu hapa TZ. (Feri - Ilala, Feri - Magomeni). Mashindano ya magari madogo kama formula one yalikuwa yanafanyika Tanga, hivi sasa 'Tanga heritaje' wanampango wa kukarabati majengo yote ya zamani yaliyojengwa na mjerumani na kuyahifadhi kwa historia nzuri ya Tanga na wameshaanza Old Tanga School, shule ya sekondari ya kwanza kujengwa nchini ya Serikali, bila kusahau 'the battle of tanga graves' makaburi ya askari waliopigana vita vya wajerumani na waingereza. Tanga iko juu bana utake usitake na ina-deserve kuwa JIJI.
   
 13. H

  Hute JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  magorofa kama hayo ni mazuri sana, na yanatakiwa yaachwe yabaki ya kizeekizee hivyohivyo. historia hiyo.
   
 14. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Dah, aisee umenikumbusha mbali sana (1963) nilipokuwa Tanga na kumuona Michelin mascot kwa mara ya kwanza. I remember the special smell of fuel that engulfed the town during the Formula One race. Those were the days!
   
 15. n

  nyantella JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  What is wrong with Tanga kuwa Jiji? Wana JF, Tanga ni mji pekee katika Tz ambao nyumba zina namba za uhakika! unaweza kumuelekeza mtu hata kama anatoka Europe nyumbani kwako akafika! mitaa ipo na nyumba zina namba hadi leo well planned!
   
 16. Hikma

  Hikma JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2014
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Karibuni Tanga.
  Majengo, Mabawa, Makorora, Mikanjuni, Madina, Usagara, Chumbageni, Chuda, Kwa-minchi, Kisosora, Sahare, Kwa-njeka, Mwahakao, Mwakidila, Mwanzange,Mwakizaro, Mapinduzi, Duga, Jaje, Mkwakwani, Barabara ya kwanza hadi ya ishirini.....Da!kama natembea Jijini Tanga vile.
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2014
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 18. a

  agosti 8 JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2014
  Joined: Jan 31, 2013
  Messages: 3,578
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Makusanyo ya Tanga yanazidi Mwanza na Arusha; Tanga inapitwa na Dar es Salaam tu katika pesa zinazoingizwa kupitia TRA. sasa wanaofikiri jiji ni majengo wafikirie tena. Kama ulivyosema TAnga imekuwa Manispaa wakati miji mingine ilikuwa vijiji tu! Tanga ya 1906 ilikuwa ya kisasa kuliko Dar. Tunakuja polepole.
   
 19. a

  agosti 8 JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2014
  Joined: Jan 31, 2013
  Messages: 3,578
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bustani kibao za kupumzika:(Salama, Makaburi ya Mjerumani, Tanga Nzurure, Uhuru Park daah nakupenda Tanga)
   
 20. Kinyerezi

  Kinyerezi JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2014
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kama kwetu Bagamoyo vile !!
   
Loading...