bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,401
- 1,287
habar wanajanvi....
Hakuna waziri aliyenisikitisha kwa maamuzi yake leo, kama prof Ndalichako, mwanamama ambaye nilimpenda na kumuamini sana kwenye serikali ya hawamu, hii mbali na uchapaji kazi wake, serikali iliyopita aliaminika sana kwa misisimamo yake...
ni mmoja wa wanamama niliokuwa nawafuatilia hatua kwa hatua...
na mbali kuliko yote ni pale alipokuwa akitangza matokea ya vidato mbali mbali, nakuoneka wazi wazi kuumizwa na matokeo ya watto watukutu, waliochora mazombi au kuandika mistari ya bongo fleva au matusi ndani ya scripts zao...
leo hii, mama huyu msomi ameamua kukaa karibu na mtoto huyu na kumkingia kifua, mtoto anayeishi uyole (moja kat ya maeneo hatar sana kwa malezi ya vijana) na kuwapa uajasili wanafunz wote walioko mashuleni na hata kuwavunja moyo walimu ambao, wanaish kwa mishahara kiduchu na mazingira magumu..
Mbali na kuwa walimu, waliomtenda mtoto huyo, kuwa na dhamira ya dhat kabisa ya kumfanya awe na nidhamu shulen, walimu hao wamepewa adhabu hata bila kupewa fursa ya kujitetea, ingawa vipo viashiria vya wazi vinavyoonyesha kuwa mtoto huyu hana nadhamu hata kidogo na hata matokea yake pia yanadhiirisha wazi kwa kupata GPA ya 1.4 kwa matokeo ya kidato cha pili..
ila pia, wanaotetea hao watto amjawahi kukutana na adha ya watto kama hao, uwezi kuwa na nidhamu nzuri shulen na wazazi wamkulea kwenye maadili, ukakutana na kipigo kama hicho..
viashiria vingne vya mwanamama huyu, ni palealipoamua kupandisha GPA kwa wanafunzi wa ngazi za dipoloma kutoka 2.9 mpka 3.5 na baadae kushusha tena nadni ya miezi kadhaa mpka 3.0...
viashiria vingne ni pale alipotoa taarifa ya wanafunzi hewa, pasipo kujiridhisha kumbe taarifa ile ilikuwa ya uongo, baada ya vyuo ving kulalamika kuwa vimesingiziwa..
viashilia vingne ni pale anpoudanganya uma kuwa hakuna mwalimu anayedai malimbikizo yake serikalin..
professor Ndalichako, nn kimekupata kwenye hii serikali ya awamu ya tano, kwann unafanya kazi kwa mieumuko, au ni hofu kwa mh raisi, na je kama ni hivyo mbona Rais anakukubali sana, y ujipunguzie heshima yako?
au kwakuwa ulizoea kufundisha vyuon, ndio maana huoni hathar ya watoto wa kisasa mashulen