Hii ndio idadi ya watumiaji wa facebook tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio idadi ya watumiaji wa facebook tanzania

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by NEW NOEL, Oct 25, 2012.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 821
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Mpaka kufikia leo tarehe 25 oktoba ya 2012,idadi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook Tanzania inafikia watu 672,160. Na Tz ni nchi ya 96 kati ya nchi 213 kuwa na idadi ya watu wengi wanaotumia Facebook.
  Nchi ya kwanza ni Marekani na ina jumla ya watumiaji 167,263,320 na nchi ya mwisho ni Vatican ambayo inawatumiaji 20 tu.
  Kwa Afrika Misri ndio inaongoza ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 11,ikifuatiwa na Nigeria yenye watumiaji milioni 6. Na nchi ya mwisho Afrika kuwa na watumiaji wachache ni Sao tome & Principle yenye watumiaji wanaofikia 6000 tu.
  Hasheem Thabeet ndio celebrity mwenye fansi wengi zaidi Tanzania,ambao ni kiasi cha 39,551. Na brand zenye mashabiki wengi ni Tigo,Midcom,Ndovu na Samsung. Huku maeneo yenye 'likes' nyingi zaidi ni kilimanjaro,Kilimanjaro International Airports,mlimani city,Double tree by Hilton hotel na southern sun hotel.
  Asilimia 71 ya watumiaji ni wanaume na asilimia 29 tu ndio wanawake.
  POPOTE TZ
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,530
  Likes Received: 8,075
  Trophy Points: 280
  Multiple IDs ni nyingi pia hahahah

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  watu wana id zaid ya tatuu....
   
 4. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwanzilishi wa facebook ni Myahudi kwa jina la Mark Zuckerberg------- Iweje Misri imekuwa ya kwanza, badala ya ku-boycott??? Mungu Ibariki Israeli.
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  What for? Kuwa na Id nyingi ni unyani
   
 6. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,283
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo percentage ya wanawake mbona ndogo sana..! Fb kuna wanawake lukuki jamani.. Kwenye page yangu wengi wanaotokea kwa ajili ya kuwa-add ni wanawake..
   
 7. +255

  +255 JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,862
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Millard Ayo ana 44,405 na Masanja Mkandamizaji ana 45,163
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Mmmmmm Mademu ndio wengi sana Facebook hyo 29% sidhani kama ni kweli.........
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280

  DR SLAA ana Followers karibia 52,000
   
 10. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 821
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Slaa naye celeb? :whistle:
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Yap ni selebreti(By Kenyela & Barnaba)
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  na zenyewe zikiwa included
   
 14. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 821
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Kwani nini maana ya Celebrity?
  Celebrity ni mtu ambaye anapata attention kubwa ya media.
   
 15. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,485
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kiongozi hawa jamaa hawapingiki,ukiwapinga tu inakula kwako!
   
 16. Islam005

  Islam005 JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2008
  Messages: 2,522
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Hizo data ni za nyuma kidogo kama vipi mtoa mada awaambie waziupdate,kuhusu followers na female users ni vitu vilivyo wazi kabisa. Na sidhani kama bado jumla ni laki 6 tu
   
 17. by default

  by default JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwalimu wako alikudanganya.kagombee ata u class representatv kama ujulikan wanakupa midl fnger
   
Loading...