Hii ndio harusi yangu bora kabisa mwaka Huu, Bwana harusi kaingia na Baiskeli

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
4570686_fbimg1480828910817_jpegab2fec77817ec8f55c85f2de00e69e3e

4570687_fbimg1480828649739696x696_jpegb1330ab0dce7d8add2c56cb16b1f8fed

4570688_fbimg1480828885808_jpeg232cfe511c76f61d32152457ba631dca

4570689_fbimg1480828889570_jpeg0c0d97aab589131d2b0863a60f658179
 
Kwa kuwa kafanya mzungu sio mbaya...

Ila angekuwa ngozi nyeusi kafanya hivi, angenyang'anywa mke dakika sufuri tu
hahahaa baba mkwe na mama mkwe wataanzisha vurugu mtoto wao anaaibishwa, Picha hazitakuwa nzuri
 
Naona mzungu anawafanyia weusi dhihaka hahaha hawa viumbe hawa ...
 
Nikajua ni baba anampeleka binti yake kuolewa...kumbe ndo bwana harusi! [HASHTAG]#livesThese[/HASHTAG] [HASHTAG]#maishaHaya[/HASHTAG]
 
Kwa kuwa kafanya mzungu sio mbaya...

Ila angekuwa ngozi nyeusi kafanya hivi, angenyang'anywa mke dakika sufuri tu

Sio kweli Mkuu.Kama mnapendana Na mnajiamini inawezekana.Lakini ukioa Mke ambaye anawaolea wenzake(mtambaji).
Kwanza harusi isinge fanyika.
Mimi nimeoa miaka mingi Sasa Na harusi yetu haikuwa Na mbwembwe ingawa ndugu Na marafiki walilalama sana tu.Pesa ya masifa tumejenga nyumba Na biashara ndogo ndogo zinaendelea.
 
ndani ya masaa machache mbongo yuko radhi achome MIL 30 kesho asubuhi anaamka na kuanza kupiga mizinga.
Kama PESA zipo sawa na hazitaathili family economy vinginevyo bora kupiga kitu cha mkoloni hapo juu
 
ivi huyu mdada anajua anachoenda kufanywa na mzungu huyu kweli? nasubiri video zake baada ya muda nizipakue kutoka kuleeee kwa mitandao ya kikubwa.+18
 
ndani ya masaa machache mbongo yuko radhi achome MIL 30 kesho asubuhi anaamka na kuanza kupiga mizinga.
Kama PESA zipo sawa na hazitaathili family economy vinginevyo bora kupiga kitu cha mkoloni hapo juu

MSEZA MKULU inabidi tuwaombee ndugu zenu wanao oa Au kuolewa kujiepusha Na vikao vya harusi Na kutumia pesa pasipo kufikiri.Watu wanao Kwa pesa za michango Na harusi nyingi za hivyo hazidumu Kwa sababu mapenzi ya dhati hayakuwepo.Hivi mtu anatumia 30-70Milion Kwa harusi alafu mnakaa nyumba ya kupanga Au Kwa wazazi Hilo NI janga kubwa
 
Back
Top Bottom