Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

Hahahaaaa usilolijua ni sawa na usiku wa giza,nashindwa nikuweke kundi gani?Akili zako za kike ndio zinakufanya kila mtu umwone wa kike?,anyway kulingana na upeo wako tusibishashe....najua ni hasira tuu za.....,pole sana.

Ndugu hoja zako huwa zimekaa vizuri sana. Lakini kwa kitendo cha wewe kujibizana na watu wenye upeo mdogo disign ya CHAMVIGA, MSALANI na Simiyu Yetu unajishusha kuliko kawaida.
 
attachment.php
attachment.php
 
Mpaka kashika tama, masikini Mbaba wa watu kashajikatia tamaa tayari.....

Yeye aache kila kitu na aanze kujipanga na maisha ya baadaye nje ya Bunge.

Hizo fedha zake azitunze kwa faida ya mbeleni.... Anakumbuka shuka wakati kumekucha.

attachment.php
 
Bravo! Bravo makamanda

pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzz

powaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

'magamba(ccyem) yana raruka tu mpaka raha!
 
Wakati wa maandalizi wewe ndio ukapiga picha eeh? Una akili sana..

Maandalizi?Mbunge ndio huyo aliyevaa dark blue(upande wa kulia) unataka kusema na yeye alikuwa anapanga viti?

Hapo ndio alikuwa amefika kwa ajili ya mkutano na kupokelewa na hao watu unaowaona mmoja ni mtumishi wa serikali.
 
Inatia moyo na kufuta machozi ya vilio vya watanzania wengi waliokandamizwa kwa muda mlefu na wajanja wachache ktk nchi hii. Tukutane 2015 na athubutu mtu kuiba kura!
 
Kwi kwi kwi. Kweli wewe ni matope kumkichwa. Hubishani na mimi? Nani kakuambia nipo jf' kubishana na mtu?. Kama uko hapa kubishana mimi sibishani nachangia. Eti mimi si size yako? Ha ha ha we kiazi kweli. Unajipya gani sasa umeandika hapa?
Eti unazalisha wasomi Hahahhahah labda wa madrassa
 
Back
Top Bottom