Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Jamani jamani...Nando wangu...i was watching BBA kwa ajili yake tu dah....and i thought anatumia weed tu...kumbe na sembe nayo....tumuombeeni jamani...Mungu amsaidie....

Mahandsome wanaisha sasa kitaa....
Hahahahahhahahah....eti "Mahandsome wanaisha" haha
 
JAMII YA KITANZANIA NA SIRIKALI BADO HAIKO SIRIAS NA HII KITU KWA SABABU WAUZA UNGA WOTE WAKUBWA NA WADOGO WANAJULIKANA NA WANAONGOZA KUTOA MISAADA MISKITINI, MAKANISANI NA KWENYE CHAMA CHETU PENDWA. KAMA ADHABU YAKE HAIJAWA KIFO NA JAMII IKABADILIKA WAZUNGU WA UNGA SIO WATU WAZURI HATA KAMA NI WATOTO WETU, NDUGU , JAMAA AMA RAFIKI ZETU.
MUUZA UNGA HANA TOFAUTI NA MCHUNA NGOZI YA BINADAMU AMA MKATA VIUNGO ALBINO NA MUUAJI MWENGINE NA ADHABU SAHIHI NI KIFO.
KINYUME CHAKE TUKIENDELEA KILILEA HILI TATIZO MPAKA MWAKA 2050 ROBO YA VIJANA WETU WATAKUWA WAATHIRIKA.
MADAWA YA KULEVYA NI TATIZO KUBWA KUZIDI UKIMWI BONGO
Ili tatizo la unga lipo mijini tuu, kule vijijini unga Aupatikaniki, vijana wa mjini wanaangamia sana.
 
Huku chuga ni safe mkuu, hizo ngada huku sio kivile, huku nyasi sanaaa
Bora uko Arachuga mnakula Nyasi (Sigara ya TRA) uku kwetu Dar es salaam ni mwendo wa Sindano na unga mwanzo mwisho kama nyoka
 
Siyo yupo location kweli




Siyo yupo location kweli

480b6dca417c7d3d7e6fd3cc740e6b2b.jpg
huyo ndio alikuwa location. Bado tunasubiri video yake.
 
Ili tatizo la unga lipo mijini tuu, kule vijijini unga Aupatikaniki, vijana wa mjini wanaangamia sana.
Vijijini sasa wametopea kwenye viroba usipime!

Nimetoka likizo huko hadi machozi yalinitoka ni mwendo wa kuzima tuu kwa vijana

Yaani kiufupi ulevi wowote ni hasara na umaskini tuu...
 
Hizi ni propaganda nini wakuu?

Jamaa kabadilika kichizi!!

Sijui ni kweli naskia ipo mashine yenyewe ipo kama beseni la kuogeshea watoto unatumbukiza huko miguu inakuwa inanyonya sumu mwilini,
Hawa watu huathirika kisaikolojia na dawa nyingi za kulevya husababisha brain function depression. Hakuna sumu ila in mfumo WA utendaji kazi wa ubongo huwa unaathirika na kumfanya MTU kuwa 'dependence'.. Hawezi kufanya chochote bila 'drug' tunasema kawa 'addicted'
 
Back
Top Bottom