Hii ndio hali halisi ya K'koo baada ya Rais kuwaruhusu Wamachinga

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg
image.jpeg
Hii ndio hali halisi K'koo hasa katika mtaa wa Kongo na Msimbazi.Wamachinga baada ya kuruhusiwa kwa kauli rasmi ya Rais warudi kufanya biashara katka barabara na vichochoro vya K"koo hali imekuwa kama hivi kwenye picha,kila sehemu imejaa na hakuna "kupumuwa".Na msongamano huu ni wa "weekend" tu,bado siku za katikati ya juma.Mpango wa Jiji kusafisha mitaa na barabara kwa kuwaondoa Wamachinga kuepusha msongamano sasa umekufa kifo cha mende kwa "TAMKO LA RAIS"

Barabara zimeziba tofauti na week moja iliyopita mabapo mtaa wa Kongo na Msimbazi ilikuwa inapitika kwa urahisi.Hatari zaidi ni katika barabara ya Msimbazi ambapo machinga wengi wamemwaga bidhaa karibu na barabara za mabasi ya mwendo kasi na barabara za magari na hivyo kuleta hatari ya kutokea kwa ajali.Sasa Machinga wasio na vizimba wanatumia magari yaliyoegeshwa kama sehemu ya kutundukia bidhaa zao

Sasa mgambo wa jiji wamekosa kazi,kama Rais alivyowahi kuongea "Nikiwa Rais,Mgambo wakatafute kazi ya kufanya,sitakubali Machinga wasumbuliwe kwa kukimbizwa kimbizwa na mgambo".Japo wapo Machinga wanaoamini "neema" hii imekuja ili kuwaweka kando na Operation UKUTA.
image.jpeg
 
View attachment 381377 View attachment 381371 Hii ndio hali halisi K'koo hasa katika mtaa wa Kongo na Msimbazi.Wamachinga baada ya kuruhusiwa kwa kauli rasmi ya Rais warudi kufanya biashara katka barabara na vichochoro vya K"koo hali imekuwa kama hivi kwenye picha,kila sehemu imejaa na hakuna "kupumuwa".Na msongamano huu ni wa "weekend" tu,bado siku za katikati ya juma.Mpango wa Jiji kusafisha mitaa na barabara kwa kuwaondoa Wamachinga kuepusha msongamano sasa umekufa kifo cha mende kwa "TAMKO LA RAIS"

Barabara zimeziba tofauti na week moja iliyopita mabapo mtaa wa Kongo na Msimbazi ilikuwa inapitika kwa urahisi.Hatari zaidi ni katika barabara ya Msimbazi ambapo machinga wengi wamemwaga bidhaa karibu na barabara za mabasi ya mwendo kasi na barabara za magari na hivyo kuleta hatari ya kutokea kwa ajali.Sasa Machinga wasio na vizimba wanatumia magari yaliyoegeshwa kama sehemu ya kutundukia bidhaa zao

Sasa mgambo wa jiji wamekosa kazi,kama Rais alivyowahi kuongea "Nikiwa Rais,Mgambo wakatafute kazi ya kufanya,sitakubali Machinga wasumbuliwe kwa kukimbizwa kimbizwa na mgambo".Japo wapo Machinga wanaoamini "neema" hii imekuja ili kuwaweka kando na Operation UKUTA.View attachment 381362
Hivi hapo makonda sura yake ataificha wapi?
 
kapingana na Wizara ya Mipango mjini

kapingana na Wizara ya Haki za binadamu

kapingana na Wizara ya UZAZI wa mipango

sijui Tunapelekwa wapi watanzania.

swissme
Hizi wizara ziko nchi gani na unaweza ukanitajia mawaziri wake,je Tanzania inasheria ya uzazi wa mipango? Mtashikishwa UKUTA mpaka mpate akili wazungusha mikono nyie
 
Hizi wizara ziko nchi gani na unaweza ukanitajia mawaziri wake,je Tanzania inasheria ya uzazi wa mipango? Mtashikishwa UKUTA mpaka mpate akili wazungusha mikono nyie
Hivi wewe unaposikia uzazi wa mpango kwa kina mama wanaimbiwa kila kukicha kwenye vituo vya afya na mahospitali unafikiri hao watumishi wanakuwa wanakurupuka tu?hizo njia za uzazi wa mpango yaani madawa na vitendea kazi vingine wanavipata kuotoka wapi kama siyo wizarani?mbona unashindwa kutumia ubongo ndugu?
 
Back
Top Bottom